Nimekuwa mtumiaji wa bidhaa mbalimbali,kwamfano: vinywaji,vyakula n.k. Lakini nimegundua kuwa kinywaji aina ya PEÑASOL(wine) stika ya TRA inabandikwa juu ya expire date,na unapobandua kwa dhumuni la kusoma muda wa matumizi ile stika inabanduka na yale maandishi. Leo nimenunua kwabahati nzuri yale maandishi yanasomeka kuwa ime-expire toka sept,2013. Je,hii imekaaje kusheria?
Au ni ujanja wa importer(s),kula na mamlaka husika kuingiza vitu vilivyokwisha muda wa matumizi?
Je, TBS/TFDA hawajaliona hili?
nawasilisha....
Au ni ujanja wa importer(s),kula na mamlaka husika kuingiza vitu vilivyokwisha muda wa matumizi?
Je, TBS/TFDA hawajaliona hili?
nawasilisha....