Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Unakoelekea unachana bet sasa wakati ulikuwa unaenda vizuriAU unataka nikueleze pia mkiwa kule kuna ka upepo kabaya kalipita kati yenu kidogo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakoelekea unachana bet sasa wakati ulikuwa unaenda vizuriAU unataka nikueleze pia mkiwa kule kuna ka upepo kabaya kalipita kati yenu kidogo?
Hiyo sentensi hujaielewa wewe🤣Unakoelekea unachana bet sasa wakati ulikuwa unaenda vizuri
Itakuwa sasa😂😂Kipindi gani alikuwa wa moto mkuu?
Isijekua kipindi kile niko zangu jela ndo kipindi nae ni wa moto
Kuanzia Leo nisalimie shikamoo"Chukua time " ft Ommy Dimpoz
Tumeicheza sanaa dance shulee, hataree sanaa
Huyu ni Suma Mnazaleti, sio MnazaretiBongo ina wanamuziki wengi
Huyo Suma Mnazareti ndio namsikia leo
Wa muda mnooo alitoaga hit song Moja Kali mnooBongo ina wanamuziki wengi
Huyo Suma Mnazareti ndio namsikia leo
Hebu sema kweliii.Unacheka badala ya kuamkia, huna adabu nini [emoji23][emoji23]
ThubutuuuuuKuanzia Leo nisalimie shikamoo
Ni kweliHebu sema kweliii.
Alibahatisha tu huyoWakuu habari zenu..
Moja kwa moja kwenye mada,, nimekuwa fan mkubwa wa Suma Mnazaleti kwa muda mrefu tangu katoa wimbo ambao niliupenda sana kwa kipindi kile, na naweza kusema ndio wimbo uliomuweka kwenye peak ya kufahamika kwa kiasi kikubwa ambao alimshirikisha Omary Nyembo almaarufu kama Ommy Dimpoz uitwao Chukua time. Naamini hata wengine humu mliupenda wimbo Ule.
Tangu hapo nilianza kumfatilia kwa ukaribu, hata nyimbo alizotoa baada ya pale niliweza kuzisikiliza na kuzipenda kama vile Agano Jipya akiwa na stamina, tafakari ft mabeste &ben pol, tupo wangapi n.k, n.k.
Sasa kuna huu wimbo ameutoa siku si nyingi unaitwa BOSS KASEMA ambao anaufanyia media tour, aisee hapana kabisa. Ukisikiliza audio bila video unaona kabisa hakuna lolote mule, hata underground hawezi kutoa wimbo wa namna Ile. Mashairi hayajapangika kabisa, kwa msanii kama yeye unategemea ukutane na mistari yenye usanii Na ufundi ndani yake lakini hakuna hicho kitu kabisa. Video tu labda mtu anaweza akavutiwa na Yale makalio ya mademu basi. Kwenye media sasa anavyojivuna ndio nashindwa kuelewa kuwa muziki umeshamlipa na sasa amerelax hataki kuumiza kichwa zaidi au inakuaje..
Asanteni
View attachment 2572739
Ni mjivuni sana jamaaDuh mara ya mwisho kumsikia ilikuwa 2012 akihojiwa kwny tv na ngom yake ya chukua time
Hili ndio tatizo la kuishi Ushirombo Lulembela na Butinzya ndanindani huko...Bongo ina wanamuziki wengi
Huyo Suma Mnazareti ndio namsikia leo