Je system ya RITA in tatizo?

Je system ya RITA in tatizo?

Mimi mstaarabu

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2020
Posts
262
Reaction score
577
Hivi karibuni nimesajili vyeti vya kuzaliwa online na baada siku 14 unapata tangu siku uliyosajili na kulipia.
Nina siku 24 tangu nmelipia system inaonyesha status ya cheti kwamba APPROVED IMna ilitakiwa iwe CERTIFICATE ISSUED

SWALI LANGU: je system inasumbua au kuna tatizo?? Je nikienda rita nitakipata?
 
Kama approved nenda kachukue cheti kiko tayari
 
Back
Top Bottom