DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Katika kipindi cha uchaguzi mkuu, taarifa kuhusu wagombea husambaa kwa kasi kupitia mitandao ya kijamii. Hata hivyo, si taarifa zote ni sahihi; nyingine huenezwa bila uhakika na mara nyingine unaweza kukutana na habari zinazopingana kuhusu mgombea mmoja. Hali hii huwafanya wananchi kuchanganyikiwa na kuathiri maamuzi yao. Swali la kujiuliza ni,
Je, taarifa za wagombea unazoziona mtandaoni huwa unaziamini au unazihakiki kwanza kabla ya kufanya uamuzi?
Je, taarifa za wagombea unazoziona mtandaoni huwa unaziamini au unazihakiki kwanza kabla ya kufanya uamuzi?