lady mmarangu
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 306
- 166
Hivi jamani wana JF, tabia za mtu mwwnye kisukari ni zipi????mana kuna tabia mume wangu anazo kwa kweli zinanichosha sana,kwa kweli kuongea kwa upole kwake ni issue kitu kidogo anakufokea then anazira hapahapo na kujitenga kama vile mm ndo mwenye makosa!!na je mwanume akiwa hana uwezo wa kushirikiana na mkewe anakuwa yuko sawa ki saikologia?
Pole sana, huku sio mahali salama na sahihi pa kutafutia ufumbuzi hilo tatizo japo itakusaidia kujua kwamba mme wako ana ahueni kulinganisha na wanaume wengi watakaochangia huu uzi.
Nimecheka bila kupenda ila ni ukweli mtupu ulichosema.Pole sana, huku sio mahali salama na sahihi pa kutafutia ufumbuzi hilo tatizo japo itakusaidia kujua kwamba mme wako ana ahueni kulinganisha na wanaume wengi watakaochangia huu uzi.
Na mimi huwa Nina hasira sana na mume wangu sijui zinatoka Wapi .Kuna saa nakuwa na furaha na kuna saa Nina hasira tuu hata kazini inanitokea tukikorofishana na stuff WENZANGU hali inakuwa mbaya .Msaada hospital ipi jamani
Jamani mwanaume hana upole kwa mkewe!!!sa ingine hata kulala ndani ni issue anakimbilia kulala kwwnye gari!!!!mwanaume ni matusi tu ndani
Hahahahaha! Mungu tusamehe na tusaidie
Nice pointPole sana, huku sio mahali salama na sahihi pa kutafutia ufumbuzi hilo tatizo japo itakusaidia kujua kwamba mme wako ana ahueni kulinganisha na wanaume wengi watakaochangia huu uzi.