Je, tabia hizi zinasababishwa na ugonjwa wa kisukari?

Je, tabia hizi zinasababishwa na ugonjwa wa kisukari?

lady mmarangu

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
306
Reaction score
166
Hivi jamani wana JF, tabia za mtu mwwnye kisukari ni zipi? Maana kuna tabia mume wangu anazo kwa kweli zinanichosha sana.

Kuongea kwa upole kwake ni issue, kitu kidogo anakufokea then anazira hapahapo na kujitenga kama vile mimi ndo mwenye makosa! Je mwanume akiwa hana uwezo wa kushirikiana na mkewe anakuwa yuko sawa kisaikolojia?
 
Anatabia za kike huyo... huna budi wewe ndiyo kuwa mume sasa... komaa..
 
Kwa hiyo kwanza huenda ana kisukari 2. Anafoka 3. Anazira 4. Hana uwezo wa kushirikiana 5. Huenda ana matatizo ya psychology.

Uuuhhh... Nadhani hapo ni maombi, mnahitaji maombi.
 
Kama una hisi ana kisukari nenda hospitali mkapime
 
Hivi jamani wana JF, tabia za mtu mwwnye kisukari ni zipi????mana kuna tabia mume wangu anazo kwa kweli zinanichosha sana,kwa kweli kuongea kwa upole kwake ni issue kitu kidogo anakufokea then anazira hapahapo na kujitenga kama vile mm ndo mwenye makosa!!na je mwanume akiwa hana uwezo wa kushirikiana na mkewe anakuwa yuko sawa ki saikologia?

Pole sana, huku sio mahali salama na sahihi pa kutafutia ufumbuzi hilo tatizo japo itakusaidia kujua kwamba mme wako ana ahueni kulinganisha na wanaume wengi watakaochangia huu uzi.
 
Hahahahaha! Mungu tusamehe na tusaidie
 
Jamani mwanaume hana upole kwa mkewe!!!sa ingine hata kulala ndani ni issue anakimbilia kulala kwwnye gari!!!!mwanaume ni matusi tu ndani
 
Na mimi huwa Nina hasira sana na mume wangu sijui zinatoka Wapi .Kuna saa nakuwa na furaha na kuna saa Nina hasira tuu hata kazini inanitokea tukikorofishana na stuff WENZANGU hali inakuwa mbaya .Msaada hospital ipi jamani
 
Kuhusu kisukari muambie akojoe nje,uone km sisimizi watavamia kuo mkojo kwa kasi basi ujue anacho kisukari,ila kwa uhakika nendeni hospitali mkapime wote.Kuhusu hasira inaezekana anaugonjwa wa moyo,wote mkapime!Pia mnaweza kumuona criss mauki kwa ajili anger management au Google tedx talk za anger management!Pia Jaribu kubadilisha vyakula mnavyokula,na uelekeo wakati wa kulala,si mbaya mkalala chini siku moja moja au mkwaswap chumba na watoto etc!
 
Pole sana, huku sio mahali salama na sahihi pa kutafutia ufumbuzi hilo tatizo japo itakusaidia kujua kwamba mme wako ana ahueni kulinganisha na wanaume wengi watakaochangia huu uzi.
Nice point
 
Huyo mumeo nae ni wa huku kwetu darisalama? Kama ni wahuku wala usijali, ndo tabia za wanaume wa kizaramo hatakama babaake ni mchaga na mama ni mrangi mradi tu akizaliwa darisalama huyo anakuwa mzaramo na tabia za kuzamo fulu.
 
Labda kuna kosa umemfanyia ameshindwa kusema Sasa ukifanya jambo dogo anakumbuka ulivyomuudhi

Labda amejua umechepuka Ukifanya jambo dogo anawaza ulivyomsaliti na kujawa na hasira

Labda mna tofauti ambazo mnapaswa mkae chini na kuzitafutia ufumbuzi.
 
Hakuna dalili kuu ya kisukari kati ya zote ulizoanisha hapo, kushindwa kushiriki tendo ni madhara yatokanayo na kisukari na siyo dalili.

Dalili kuu hizi hapa.

Kukojoa mara kwa mara / 1.Polyuria

Kunywa maji mara kwa mara / 2.Polydipsia

Kula mara kwa mara / 3. Polyphagia

Kupoteza uwezo wa kuona vizuri / Poor vision

Pamoja na yote hayo [emoji115] ni muhimu mkafanya vipimo ili kuthibitisha hilo bila kusahau kupima shinikizo la damu pia maana wote mpo kwenye risk/wote mna hasira ambazo kwa maelezo yako hazina msingi/sababu maalum.

Pole!!
 
Back
Top Bottom