Je, Taddeo Lwanga mwisho wake utakuwa upi?

Je, Taddeo Lwanga mwisho wake utakuwa upi?

Mwisho wake ni kwamba amechagua kufanya anachokipenda.
 
Mliopo Karibu na JONAS MKUDE muonyeniiiiii. Mwambieni Misumari anayompiga Lwanga tumeanza kuona madhara yake, aaache Upuuuz na mibange yake. Kwasasa Ndani ya Simba Mkude huna Namba na Hatukutaki sie Mashabiki. Tafuta timu uondoke fa-lla wee unaaanzaje kumpiga msumari MENEJA WA KIDATU ndani ya Simba. Tutakuja kukupasua hapo hapo Taifa hutaaamini subiri
 
Back
Top Bottom