sir Ganto G
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 573
- 114
ndugu wanajamvi,
nikiwa naangalia muvi moja ya kibongo nimekutana na msemo huu,..jamaa alikuwa anaomba ushauri kuhusu jambo fulani na rafiki yake asema hivi..."kichwa chako ndio serikali yako" na subtitle ya kiingereza ikasomeka hivi "our governments are in our heads"..Naomba watalaam wa lugha nisaidiwe tafsiri sahihi ya msemo huu.
source;movie, The shock.