Je, Taifa Masikini na Bingwa wa Kuomba Pesa za Misaada kwa Wazungu hutakiwa kuwa na idadi Kubwa ya Makomandoo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuna nchi (taifa) moja Barani Afrika katika Mahafali yake ya Kijeshi Jumamosi hii pia watakuwepo 'Makomadoo' zaidi ya 3000.

Nijuavyo Kiuchumi kuwatunza hawa ni Gharama Kubwa mno je, kwa Umasikini mkubwa wa hiyo nchi kuna haja ya kuwa nao Wengi kiasi hicho?

Bahati mbaya na nchi yenyewe nimeshaisahau ila siyo Rwanda kwani haina Upuuzi huo wa Kuharibu Uchumi wake.
 
Unaweza kuwa Komando lakini huna nyota kama wale walinzi wa mbowe, Komando ni mafunzo sio cheo kwahiyo mwingine ni Komando lakini cheo cha kijeshi ni private, mwingine luten nakadhalika.

Komando asiye na nyota mshahara wake niwakawaida below 1.5 take home ambapo mwanajeshi ambae ana nyota mbili lakini sio Komando anachukua zaidi ya 1.9 M take home. Kuwa Komando ni kawaida sana tena sana tu niwashamba ndowanadhani Komando anatisha.
 
Unaweza kuwa Komando lakini huna nyota kama wale walinzi wa mbowe, Komando ni mafunzo sio cheo kwahiyo mwingine ni Komando lakini cheo cha kijeshi ni private, mwingine luten nakadhalika. Komando asiye na nyota mshahara wake niwakawaida below 1.5 take home ambapo mwanajeshi ambae ana nyota mbili lakini sio Komando anachukua zaidi ya 1.9 M take home. Kuwa Komando ni kawaida sana tena sana tu niwashamba ndowanadhani Komando anatisha
We kijana acha kutudharau
 
Mwanajeshi wa nyota 2 achukue 1.9 take home? Ina maana Basic ni zaidi ya 2.2? Kuwa serious kidogo Mkuu.
 
Kuna nchi ( taifa ) moja Barani Afrika katika Mahafali yake ya Kijeshi Jumamosi hii pia watakuwepo 'Makomadoo' zaidi ya 3000.

Nijuavyo Kiuchumi kuwatunza hawa ni Gharama Kubwa mno je, kwa Umasikini mkubwa wa hiyo nchi kuna haja ya kuwa nao Wengi kiasi hicho?

Bahati mbaya na nchi yenyewe nimeshaisahau ila siyo Rwanda kwani haina Upuuzi huo wa Kuharibu Uchumi wake.
Sio kwamba linaomba misaada pia kwa Waarabu?
 
Kuna nchi (taifa) moja Barani Afrika katika Mahafali yake ya Kijeshi Jumamosi hii pia watakuwepo 'Makomadoo' zaidi ya 3000.

Nijuavyo Kiuchumi kuwatunza hawa ni Gharama Kubwa mno je, kwa Umasikini mkubwa wa hiyo nchi kuna haja ya kuwa nao Wengi kiasi hicho?

Bahati mbaya na nchi yenyewe nimeshaisahau ila siyo Rwanda kwani haina Upuuzi huo wa Kuharibu Uchumi wake.
hahahahhaha huyu jamaa bana!
 
Unaweza kuwa Komando lakini huna nyota kama wale walinzi wa mbowe, Komando ni mafunzo sio cheo kwahiyo mwingine ni Komando lakini cheo cha kijeshi ni private, mwingine luten nakadhalika.

Komando asiye na nyota mshahara wake niwakawaida below 1.5 take home ambapo mwanajeshi ambae ana nyota mbili lakini sio Komando anachukua zaidi ya 1.9 M take home. Kuwa Komando ni kawaida sana tena sana tu niwashamba ndowanadhani Komando anatisha.
Out of Content and Context. Tulia Kwanza ukiona una Akili za Kuukabili huu Uzi nakukaribisha tena kuja Kuujadili hapa Ok?
 
Kuna nchi (taifa) moja Barani Afrika katika Mahafali yake ya Kijeshi Jumamosi hii pia watakuwepo 'Makomadoo' zaidi ya 3000.

Nijuavyo Kiuchumi kuwatunza hawa ni Gharama Kubwa mno je, kwa Umasikini mkubwa wa hiyo nchi kuna haja ya kuwa nao Wengi kiasi hicho?

Bahati mbaya na nchi yenyewe nimeshaisahau ila siyo Rwanda kwani haina Upuuzi huo wa Kuharibu Uchumi wake.
Habari ndio hio mpe taarifa jamaa yako.
 
Back
Top Bottom