Hivi karibuni Takukuru wamekuwa wakitoa onyo au maonyo Kwa wagombea wasitoe Rushwa , pamoja na ahadi zinazoelekea kuwa ni Rushwa. Hivyo kuharibu uchaguzi na kupitia nchi hasara kubwa, na kuwanyima wananchi nafasi ya kufanya uchaguzi wa haki, na demokrasia.
Lakini kuna matokeo yanayoonyesha Kwa baadhi yetu kutumia katika kuharibu uchaguzi kuwa wa Haki na ki demokrasia, na wañao fanya hivyo ikaonekana ni sababu ya Rushwa au Shinikizo ya pesa au kupandishwa cheo au maslahi mengine.
Je, Takukuru itakuwa tayari kushughulikia waliokoa Rushwa hizo na wapokeaji. Maana cinema nyingi zinazoendelea Ndani ya Uchaguzi Kwa Vyama vinavyo shiriki, na vile visivyo shiriki Kwa sababu za Vikwazo vya kiufundi, ikaonekana ni rushwa imetumika ili kuweka hivyo vikwazo vya kiufundi.