Je tamaduni za wamasai na wahadzabe ziko juu ya sheria?

Usichokijua ni kwamba kuanzia mgololo/ shuka la kimasai na vyote alivyokuwa navyo mwilini ni sehemu ya utamaduni. Na ndo kivutio chenyewe cha utalii. Sasa wewe unataka watalii waje unguja halafu unakataa baadhi ya vivutio?
Ndomana wakawachapa bakoraa
 
Ila wewe mwenye akili unafurahia mama kufungwa zaidi ya miaka 20 kwa nyama kilo moja, ila kuna kundi linafanya uwindaji haramu na wanaachwa Kwasababu wazungu wanafurahia kuwaona wakiishi hivyo.
Cheki unavyo halalisha ukilaza wako...umewah sikia masai na kesi ya uwindaji wanyama pori...wale ni friendly na Nature....wale ni maasai...usiwachanganye...nahis umewajua baada ya kuona mtafaruku wa zanzibar...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…