Tstizo ni wabunge hawasemi lolote kuhusu harabaraTanga sio jiji ,bajeti ya mwaka 2025/2026 katika miundombinu ya majiji haikuhusishwa hasa barabara kubwa ,na bajeti ya juzi ya mwaka 2026/2027 napo pia haipo kwenye list yaani mpaka Njombe ndani ikiungajishwa na Mbeya ila Tanga hola.
kwenye bajeti za flyover waziri wa ulega alitaja watajenga flyover kwenye majiji ma 4 Tanga haikutajwa, pia nakumbuka alitaja mradi wa mwendo kasi katika majiji alitaka yote ila Tanga kaiacha, na kwenye mambo mengi tu,
je Tanga imeondolewa kwenye orodha ya majiji ila serikali haitaki kusema?
Nafasi yake imechukuliwa na Kizimkazi.Tanga sio jiji ,bajeti ya mwaka 2025/2026 katika miundombinu ya majiji haikuhusishwa hasa barabara kubwa ,na bajeti ya juzi ya mwaka 2026/2027 napo pia haipo kwenye list yaani mpaka Njombe ndani ikiungajishwa na Mbeya ila Tanga hola.
Kwenye bajeti za flyover waziri wa ulega alitaja watajenga flyover kwenye majiji ma 4 Tanga haikutajwa, pia nakumbuka alitaja mradi wa mwendo kasi katika majiji alitaka yote ila Tanga kaiacha, na kwenye mambo mengi tu,
Je Tanga imeondolewa kwenye orodha ya majiji ila serikali haitaki kusema?
Umenikumbusha Ile clip ya Salma Kikwete, anasema samia amemaliza Kila kitu cha maendeleo afu video nyngn analalamika jimboni kwake Hakuna barabara πTstizo ni wabunge hawasemi lolote kuhusu harabara
Ila kibongo Bongo, jiji n Dar tuu tena n basi tuu kwakuwa hakuna mbadala.hata kama ila serikali si imetenga bajeti kwa ajili ya majiji, kwa nini Tanga isiwepo?
Wameangalia halmashauri yenye afadhali kuzidi Tangasawa ila point ivyo ivyo ilivyo mbona inasahaulika na ipo kundi moja na wenzake
Ndio, imeondolewa hadhi hiyobasi jibu tanga ishaondolewa hadhi
Fazafaka akamatie hapohapo mpaka ukondoo wetu Watanganyika ututoke!sisi watu wa Tanga inatuuma sana, serikali inatusahau halafu mwisho tunaambiwa sisi wavivu
Hii ni kauli inaweza tolewa na MTU mzima kweli? Ina maana hujui kama hela zote zinakusanywa kwenda makao makuu? Tanga, Arusha na Kilimanjaro (mikoa ya kaskazini) inashika Nafasi ya 2, 3 na 4 karibia kila mwaka kwenye kuchangia mapato ya Taifa, Ila wananchi wao wanachochangia kwa jasho Lao kunaenda kujenga Dodoma na kwengineko ambapo watu wake ni wavivu na mchango wao kwa Taifa ni mdogo Sana.Mlikuaje Jiji kama hata flyovers hamuwezi kujenga wenyewe?!
Kwa definition za Jiji Tanga ni proper jiji kushinda majiji mengi Nchi hii. Unless hujui jiji ni nini.Tanga na Mbeya ni vijiji vikubwa vilivyochangamka.