Je, Tangazo la Ajira TRA ni la kweli?

Je, Tangazo la Ajira TRA ni la kweli?

Bado tra bado hawajaitaa watu kwenye usailii kuwenii na subiraa,nilionaa Uzi umekaaa kmy ikabidii niwashtue kdg
Duuh kwa Ile timeline ya application ilivokua chapchap nilidhani Kila kitu kitaenda fasta. Anyway tuwasubiri hatuna namna.
 
Duuh kwa Ile timeline ya application ilivokua chapchap nilidhani Kila kitu kitaenda fasta. Anyway tuwasubiri hatuna namna.
wakudaai yake yake ya PSRS, waliwanyang'anya kisa wanachelewesha mchakato na wenyewe wanafanya yale yale
 
kwa nafasi 500+ wanaweza tumia hata 3 months mpaka usaili ila kuna wadau wanajua zaidi
 
Back
Top Bottom