permist JF-Expert Member Joined Feb 23, 2017 Posts 650 Reaction score 408 Jul 17, 2023 #21 Life for success said: Wameishaitwaa tayarii mbona wikii ya pilii sasa Click to expand... kaka umetushtua Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Life for success said: Wameishaitwaa tayarii mbona wikii ya pilii sasa Click to expand... kaka umetushtua Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
P patino Member Joined May 3, 2023 Posts 25 Reaction score 29 Jul 17, 2023 #22 Life for success said: Bado tra bado hawajaitaa watu kwenye usailii kuwenii na subiraa,nilionaa Uzi umekaaa kmy ikabidii niwashtue kdg Click to expand... Duuh kwa Ile timeline ya application ilivokua chapchap nilidhani Kila kitu kitaenda fasta. Anyway tuwasubiri hatuna namna.
Life for success said: Bado tra bado hawajaitaa watu kwenye usailii kuwenii na subiraa,nilionaa Uzi umekaaa kmy ikabidii niwashtue kdg Click to expand... Duuh kwa Ile timeline ya application ilivokua chapchap nilidhani Kila kitu kitaenda fasta. Anyway tuwasubiri hatuna namna.
BOFREE JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 1,048 Reaction score 1,424 Jul 18, 2023 #23 patino said: Duuh kwa Ile timeline ya application ilivokua chapchap nilidhani Kila kitu kitaenda fasta. Anyway tuwasubiri hatuna namna. Click to expand... wakudaai yake yake ya PSRS, waliwanyang'anya kisa wanachelewesha mchakato na wenyewe wanafanya yale yale
patino said: Duuh kwa Ile timeline ya application ilivokua chapchap nilidhani Kila kitu kitaenda fasta. Anyway tuwasubiri hatuna namna. Click to expand... wakudaai yake yake ya PSRS, waliwanyang'anya kisa wanachelewesha mchakato na wenyewe wanafanya yale yale
B BARBIEGEE Member Joined Jul 17, 2023 Posts 28 Reaction score 19 Jul 18, 2023 #24 kwa nafasi 500+ wanaweza tumia hata 3 months mpaka usaili ila kuna wadau wanajua zaidi
B BARBIEGEE Member Joined Jul 17, 2023 Posts 28 Reaction score 19 Jul 18, 2023 #25 Carica_papaya said: TRA waachie Utumishi waendeshe zoezi la Ajira... wanataka Waingize Wachaga kwenye hizo Nafasi.. mbaya sanA... Click to expand... psrs wanatumia muda mrefu sana kufanya mchakoto wacha taasisi wafanye wenyewe
Carica_papaya said: TRA waachie Utumishi waendeshe zoezi la Ajira... wanataka Waingize Wachaga kwenye hizo Nafasi.. mbaya sanA... Click to expand... psrs wanatumia muda mrefu sana kufanya mchakoto wacha taasisi wafanye wenyewe