Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Tanzania ilipo panda kwenye viwango vya kiuchumi, watu wote tulifurahi sana, tulitunga nyimbo na mashairi shatashata.
Tangu mama ameingia amekuwa akiupiga mwingi sana, pia kwa kuongeza Kodi kwenye mafuta na tozo kwenye miamala ya simu nadhani atakuwa ameboresha sana mfuko wetu wa hazina.
Pia naimani kwamba tunaendelea vizuri sana na exportation za dhahabu, Almasi, tanzanite, korosho, pamba, kahawa, chai etc
Ndugu wajuzi, naomba mnijulishe status ya Taifa letu kiuchumi kwa sasa