Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Shikiria hapo hapo mura uriposhikiriaTanzania ilipo panda kwenye viwango vya kiuchumi, watu wote tulifurahi sana, tulitunga nyimbo na mashairi shatashata.
Tangu mama ameingia amekuwa akiupiga mwingi sana, pia kwa kuongeza Kodi kwenye mafuta na tozo kwenye miamala ya simu nadhani atakuwa ameboresha sana mfuko wetu wa hazina.
Pia naimani kwamba tunaendelea vizuri sana na exportation za dhahabu, Almasi, tanzanite, korosho, pamba, kahawa, chai etc
Ndugu wajuzi, naomba mnijulishe status ya Taifa letu kiuchumi kwa sasa
Tupo G20 mkuuTanzania ilipo panda kwenye viwango vya kiuchumi, watu wote tulifurahi sana, tulitunga nyimbo na mashairi shatashata.
Tangu mama ameingia amekuwa akiupiga mwingi sana, pia kwa kuongeza Kodi kwenye mafuta na tozo kwenye miamala ya simu nadhani atakuwa ameboresha sana mfuko wetu wa hazina.
Pia naimani kwamba tunaendelea vizuri sana na exportation za dhahabu, Almasi, tanzanite, korosho, pamba, kahawa, chai etc
Ndugu wajuzi, naomba mnijulishe status ya Taifa letu kiuchumi kwa sasa
Financial or richest in natural resources?Kuna video ipo uko YouTube inaonyesha ni one of the richest countries in Afrika.
Si waseme tu, Kama tumesha rejesha mpira kwa kipaMkubwa tafuta pesa uweze kutoa tozo. Ukifuatilia sana hizi sarakasi unaweza kuambiwa kesho jua litachomoza magharibi na kuzama mashariki. Itabidi ukubali tu.
Mambo yalikua ni "ndio mzee"
Bujibuji una nn lakini? Ngoja tumalize kesi ya Mbowe ndipo tuwaulizeTanzania ilipo panda kwenye viwango vya kiuchumi, watu wote tulifurahi sana, tulitunga nyimbo na mashairi shatashata.
Tangu mama ameingia amekuwa akiupiga mwingi sana, pia kwa kuongeza Kodi kwenye mafuta na tozo kwenye miamala ya simu nadhani atakuwa ameboresha sana mfuko wetu wa hazina.
Pia naimani kwamba tunaendelea vizuri sana na exportation za dhahabu, Almasi, tanzanite, korosho, pamba, kahawa, chai etc
Ndugu wajuzi, naomba mnijulishe status ya Taifa letu kiuchumi kwa sasa
Wanajiridhisha, wanataka adhabu atakayopewa Sabaya na Mbowe apeweBujibuji una nn lakini? Ngoja tumalize kesi ya Mbowe ndipo tuwaulize
Afadhali Madagascar imeshawahi kuzisaidia nchi za Africa dawa ya Corona, Tanzania tumesaidia nini? Tukampa Nani? Lini?donor country mzee
Tanzania ilipo panda kwenye viwango vya kiuchumi, watu wote tulifurahi sana, tulitunga nyimbo na mashairi shatashata.
Tangu mama ameingia amekuwa akiupiga mwingi sana, pia kwa kuongeza Kodi kwenye mafuta na tozo kwenye miamala ya simu nadhani atakuwa ameboresha sana mfuko wetu wa hazina.
Pia naimani kwamba tunaendelea vizuri sana na exportation za dhahabu, Almasi, tanzanite, korosho, pamba, kahawa, chai etc
Ndugu wajuzi, naomba mnijulishe status ya Taifa letu kiuchumi kwa sasa
Si waseme tu, Kama tumesha rejesha mpira kwa kipa
[emoji23][emoji23][emoji3]jmnTuko uchumi mpwito mpwito Mkuu. Huu ni uchumi wa chini sana kule nyayoni.
Tunawezaje kukuza uchumi wakati exports na tourism vimekufa?Tuko uchumi mpwito mpwito Mkuu. Huu ni uchumi wa chini sana kule nyayoni.
CCM wanadanganywa Tanzania iko uchumi wa katiTufafanuliane vizuri humu. Kuna madaraja mangapi ya uchumi. Huu tulio tangaziwa ni uchumi wa kati au chini kati au kati chini au nini? Maana naona kama kuna watu wanaficha ukweli kutaja tu wa kati, kumbe bado tupo chini lakini chini ya kati! Ni sahihishwe tafadhali!