Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Tumemaliza uchumi wa chini kati sasa amesema anaingia awamu ya kuupanua uchumi utanuke.
Hii tukijibu hawatukamati mkuu wakasema ni chokochoko?Tanzania ilipo panda kwenye viwango vya kiuchumi, watu wote tulifurahi sana, tulitunga nyimbo na mashairi shatashata.
Tangu mama ameingia amekuwa akiupiga mwingi sana, pia kwa kuongeza Kodi kwenye mafuta na tozo kwenye miamala ya simu nadhani atakuwa ameboresha sana mfuko wetu wa hazina.
Pia naimani kwamba tunaendelea vizuri sana na exportation za dhahabu, Almasi, tanzanite, korosho, pamba, kahawa, chai etc
Ndugu wajuzi, naomba mnijulishe status ya Taifa letu kiuchumi kwa sasa
Ndugu mwananchi umeuliza swali zuri sana,tumelipokea na tutalifanyia KAZI😂😂😂Tanzania ilipo panda kwenye viwango vya kiuchumi, watu wote tulifurahi sana, tulitunga nyimbo na mashairi shatashata.
Tangu mama ameingia amekuwa akiupiga mwingi sana, pia kwa kuongeza Kodi kwenye mafuta na tozo kwenye miamala ya simu nadhani atakuwa ameboresha sana mfuko wetu wa hazina.
Pia naimani kwamba tunaendelea vizuri sana na exportation za dhahabu, Almasi, tanzanite, korosho, pamba, kahawa, chai etc
Ndugu wajuzi, naomba mnijulishe status ya Taifa letu kiuchumi kwa sasa
Isitoshe hao mnaowaita watu wa kubet mmewabebesha mzigo mzito wa kodi za kila aina;Tunawezaje kukuza uchumi wakati exports na tourism vimekufa?
Viwanda hatuna na watu wameshakata tamaa ya maisha, wanadhani watatoboa kwa kubet na biko?
Uchumi una collapse. CCM inaendelea kupora hela za watu kibabeIsitoshe hao mnaowaita watu wa kubet mmewabebesha mzigo mzito wa kodi za kila aina;
-Mafuta ya kula bei juu
-Tozo kichaa za miamala(double taxation)
-Petrol/Diesel bei juu
-Luku mmeongeza cha juu
-Mbolea na pembejeo mmeongeza kodi
- kwenye bajeti 11% ni ya maendeleo na 89% ni ya matumizi ya kawaida.
Ana misuse fund. Huko Dodoma hakai, kila siku yupo jiji la maraha, Dar es SalaamImeshapanda Mkuu , Jana Mh SSH katoa Bilioni 300 kwenda malizia ujenzi Ikulu na wizara Dodoma.
Choko choko mchokoe pweza, binadamu hutomuwezaHii tukijibu hawatukamati mkuu wakasema ni chokochoko?
Tanzania ilipo panda kwenye viwango vya kiuchumi, watu wote tulifurahi sana, tulitunga nyimbo na mashairi shatashata.
Tangu mama ameingia amekuwa akiupiga mwingi sana, pia kwa kuongeza Kodi kwenye mafuta na tozo kwenye miamala ya simu nadhani atakuwa ameboresha sana mfuko wetu wa hazina.
Pia naimani kwamba tunaendelea vizuri sana na exportation za dhahabu, Almasi, tanzanite, korosho, pamba, kahawa, chai etc
Ndugu wajuzi, naomba mnijulishe status ya Taifa letu kiuchumi kwa sasa
Nimeona neno moja tu, SIFA ZA KIJINGA