naomba kuuliza kama bado tanzania kuna special schools kama miakaya tisini akina mzumbe,kibaha na tofauti zao na shule za kata
Nyani Ngabu alisoma ktk moja ya hizi shule za vipaji maalum. Who knows, labda alikuwa Kibaha sec, na atatupa details.Kibaha miaka 2004-2006 ilikuwa vizuri mazingira mazuri, vitabu vipo, walimu wapo, kuku zipo na kati ya special zote kibaha ilikuwa zaidi. Sijafahamu kwa sasa.
Sent from my Samsung Note III using Tapatalk
Nyani Ngabu alisoma ktk moja ya hizi shule za vipaji maalum. Who knows, labda alikuwa Kibaha sec, na atatupa details.
RIP mwalimu wangu Mkomboti!
ofcoz vipaji bado kule form two wastan wa sabin utamshtua nan? kaz huku uwanja wa fisibado tupo vipaji
sijui hasa mnaposema vipaji mnalenga vipaji gani, ila kama ni ufaulu wa mtihani bado zipo cz mtihani wa form 2 hapa kwetu kibaha watoto 80 wana wastani wa A Kati ya 120. B ziko 31 hzo nyingine sijajitaabisha kuziangalia.
Hongera, Bossman!Zipo ambazo ni kibaha,mzumbe,ilboru,Tabora boyz,Tabora girls,msalato, na kilakala. il a sasa kama hazionekani vile kwa sababu hizi seminary. Ila ukweli najivunia nimesoma kibaha form ( 1-6) . Nina ushuhuda ya kuwa wanafunzi wanaopita pale wanasoma na tegemeo sana kwa taifa . Na wengi wao huwa wanafanya vizur Chuo. Mfano Mimi nilimaliza form six 2002 tulikuwa wanafunz 106 pcm,PCB na CBA . 100% wote tulienda vyuo vikuu. Kati ya hao wanaofundisha sasa vyuo mbalimbali kama udom,udsm,sua,aru,muhimbili,ifm,cbe,etc wapo 25.wanaosoma nje masters-13,phd-2. Wanaofanya mashirika makubwa kama TBS,tanesco,Tigo,voda,Airtel,tccl,TBA,nhc,etc. Na wizara karibu nyingi wapo. Kwa hiyo nawashauri waambieni watoto wenu wasome sana.
Mmmmmmmh....ofcoz vipaji bado kule form two wastan wa sabin utamshtua nan? kaz huku uwanja wa fisi
Zipo ambazo ni kibaha,mzumbe,ilboru,Tabora boyz,Tabora girls,msalato, na kilakala. il a sasa kama hazionekani vile kwa sababu hizi seminary. Ila ukweli najivunia nimesoma kibaha form ( 1-6) . Nina ushuhuda ya kuwa wanafunzi wanaopita pale wanasoma na tegemeo sana kwa taifa . Na wengi wao huwa wanafanya vizur Chuo. Mfano Mimi nilimaliza form six 2002 tulikuwa wanafunz 106 pcm,PCB na CBA . 100% wote tulienda vyuo vikuu. Kati ya hao wanaofundisha sasa vyuo mbalimbali kama udom,udsm,sua,aru,muhimbili,ifm,cbe,etc wapo 25.wanaosoma nje masters-13,phd-2. Wanaofanya mashirika makubwa kama TBS,tanesco,Tigo,voda,Airtel,tccl,TBA,nhc,etc. Na wizara karibu nyingi wapo. Kwa hiyo nawashauri waambieni watoto wenu wasome sana.
Mmmmmmmh....