Je Tanzania bado kuna shule za vipaji?

Je Tanzania bado kuna shule za vipaji?

msilala

Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
11
Reaction score
1
naomba kuuliza kama bado tanzania kuna special schools kama miakaya tisini akina mzumbe,kibaha na tofauti zao na shule za kata
 
Yeah zipo ambazo ni tbrboys,mzumbe,ilboru na kibaha zinafanya vizuri sanaa tatizo ni mazingira ,vifaa na walimu
 
Kibaha miaka 2004-2006 ilikuwa vizuri mazingira mazuri, vitabu vipo, walimu wapo, kuku zipo na kati ya special zote kibaha ilikuwa zaidi. Sijafahamu kwa sasa.

Sent from my Samsung Note III using Tapatalk
 
Nyani Ngabu alisoma ktk moja ya hizi shule za vipaji maalum. Who knows, labda alikuwa Kibaha sec, na atatupa details.
RIP mwalimu wangu Mkomboti!
 
Mh.Kikwete mwenyewe alisoma hapo. Sema basi tu😆

Sent from my Samsung Note III using Tapatalk
 
Nyani Ngabu alisoma ktk moja ya hizi shule za vipaji maalum. Who knows, labda alikuwa Kibaha sec, na atatupa details.
RIP mwalimu wangu Mkomboti!

Hahahaaaaa SHERRIF ARPAIO bana. Naona umeamua kunisanifu tu sasa. Mimi na kipaji maalum wapi na wapi ndugu yangu!

Ningekuwa na kipaji maalum na kusoma kwenye shule za wenye vipaji maalum ningeishia kupiga boksi kweli? Sidhani aisee.
 
Last edited by a moderator:
sijui hasa mnaposema vipaji mnalenga vipaji gani, ila kama ni ufaulu wa mtihani bado zipo cz mtihani wa form 2 hapa kwetu kibaha watoto 80 wana wastani wa A Kati ya 120. B ziko 31 hzo nyingine sijajitaabisha kuziangalia.
 
Zipo ambazo ni kibaha,mzumbe,ilboru,Tabora boyz,Tabora girls,msalato, na kilakala. il a sasa kama hazionekani vile kwa sababu hizi seminary. Ila ukweli najivunia nimesoma kibaha form ( 1-6) . Nina ushuhuda ya kuwa wanafunzi wanaopita pale wanasoma na tegemeo sana kwa taifa . Na wengi wao huwa wanafanya vizur Chuo. Mfano Mimi nilimaliza form six 2002 tulikuwa wanafunz 106 pcm,PCB na CBA . 100% wote tulienda vyuo vikuu. Kati ya hao wanaofundisha sasa vyuo mbalimbali kama udom,udsm,sua,aru,muhimbili,ifm,cbe,etc wapo 25.wanaosoma nje masters-13,phd-2. Wanaofanya mashirika makubwa kama TBS,tanesco,Tigo,voda,Airtel,tccl,TBA,nhc,etc. Na wizara karibu nyingi wapo. Kwa hiyo nawashauri waambieni watoto wenu wasome sana.
 
Kibongo bongo kipaji maalum ni ufaulu tu wa mitihani. Kwamba, hata mimi Ngabu mbeba maboksi nikijipinda kisawa sawa na kufaulu mitihani ya NECTA, boom.....nna kipaji maalum.
 
Zipo ambazo ni kibaha,mzumbe,ilboru,Tabora boyz,Tabora girls,msalato, na kilakala. il a sasa kama hazionekani vile kwa sababu hizi seminary. Ila ukweli najivunia nimesoma kibaha form ( 1-6) . Nina ushuhuda ya kuwa wanafunzi wanaopita pale wanasoma na tegemeo sana kwa taifa . Na wengi wao huwa wanafanya vizur Chuo. Mfano Mimi nilimaliza form six 2002 tulikuwa wanafunz 106 pcm,PCB na CBA . 100% wote tulienda vyuo vikuu. Kati ya hao wanaofundisha sasa vyuo mbalimbali kama udom,udsm,sua,aru,muhimbili,ifm,cbe,etc wapo 25.wanaosoma nje masters-13,phd-2. Wanaofanya mashirika makubwa kama TBS,tanesco,Tigo,voda,Airtel,tccl,TBA,nhc,etc. Na wizara karibu nyingi wapo. Kwa hiyo nawashauri waambieni watoto wenu wasome sana.
Hongera, Bossman!
Hongera kwa kuwa na kipaji maalum na kusoma kwenye shule ya wenye vipaji maalum
 
Special school za siku hizi mchwara. The only real special school that time was Ilboru na namba 2 Mzumbe kwa mbali
 
Attachments

  • 1390384016664.jpg
    1390384016664.jpg
    52.9 KB · Views: 149
umenitamanisha namimi najigamba sasa nilisoma ilboru form 1-6 na mwaka unamaliza forms six tayari mimi niko kile chuo cha upanga,form 4 tulikuwa wa kwanza tz kitemango kaletewa nisan patrol kama zawadi mwanawane na six tukaongoza pia akabadilishiwa gari tena kama waziri na wengi niliosoma nao wako mbali sana
Zipo ambazo ni kibaha,mzumbe,ilboru,Tabora boyz,Tabora girls,msalato, na kilakala. il a sasa kama hazionekani vile kwa sababu hizi seminary. Ila ukweli najivunia nimesoma kibaha form ( 1-6) . Nina ushuhuda ya kuwa wanafunzi wanaopita pale wanasoma na tegemeo sana kwa taifa . Na wengi wao huwa wanafanya vizur Chuo. Mfano Mimi nilimaliza form six 2002 tulikuwa wanafunz 106 pcm,PCB na CBA . 100% wote tulienda vyuo vikuu. Kati ya hao wanaofundisha sasa vyuo mbalimbali kama udom,udsm,sua,aru,muhimbili,ifm,cbe,etc wapo 25.wanaosoma nje masters-13,phd-2. Wanaofanya mashirika makubwa kama TBS,tanesco,Tigo,voda,Airtel,tccl,TBA,nhc,etc. Na wizara karibu nyingi wapo. Kwa hiyo nawashauri waambieni watoto wenu wasome sana.
 
Sasa 80 wana A,31 wana B,jumla yao si 121?au kuna negative students,haahaha!nways nlisoma A level kibaha 2008/2010,pako poa!
 
Back
Top Bottom