Je Tanzania bado kuna shule za vipaji?


Mkuu mi nakipaji naomba hicho kichwa chako nikakifanyie majaribio,
Anyway... Hapo unalaumu madaktari, wamefanya kazi nzuri sana lakini huduma za afya uwekezaji wake si wa mchezo, daktari hata akisoma vizuri na wapo wengi wamesoma vizuri sana lakini uwezo wa hospital zetu ni mdogo sana inabidi watu wapelekwe india , kule watu wanafuata uwekezaji mzuri, hapa kwetu mishahara ya madoctor ni duni sana mtu kasoma 6 yrs akasome tena 5 or 4 years kwenye specialization na bado kipatomchake hakiongezeki hat mara mbili ya alichokuwa anapata awali ,hapo tutakuwa tunataniana, kiufupi serikali yetu uwekezaji umbusha mdogo sana na.ndio sababu mapaka sasa vipimo kama ct scan au MRI ni vichache sana, mkuu usiwakosee madaktari heshima , wanajitahidi sana , wanafanya kazi nzuri sana na hao hao ndio wanaona sasa kutokana na ukosefu wa vifaa wanaamua kuidhinisha mgonjwa huyo aende india, mkuu kwa sasa huduma muhimbili zimeboreshwa kidogo kwa hiyo wagonjwa watapungua sana kwenda india.

Mwishowe nakukumbusha kuwa nahitaji hicho kichwa chako nikifanyie majaribio, nataka niondoe ubongo wako niweke wa sungura pengine utaweza kuwa na akili za kijanja kama sungura
 
Kibaha miaka 2004-2006 ilikuwa vizuri mazingira mazuri, vitabu vipo, walimu wapo, kuku zipo na kati ya special zote kibaha ilikuwa zaidi. Sijafahamu kwa sasa.

Sent from my Samsung Note III using Tapatalk

Mi nilimaliza 2005 na nilinukia kwa alizeti ya pale
 
New Modern ni Marian Girls nilimark NECTA hawa ni hatari
 
St Fransis De sales ya Moro nao ni sumu
 

Ndio maana nawe nakuita creature sio creator,embu soma vizuri hizo arguements zako.Inaonekana kuna kitu unataka kusema lakini majivuno yamemeza hadi points zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…