Je, Tanzania haikujiandaa kuwa mwenyeji wa fainali za Chan, 2025?

Je, Tanzania haikujiandaa kuwa mwenyeji wa fainali za Chan, 2025?

Labda wewe na mkeo au mmeo ndio sio wamoja. Wengine tangu mchana tumekusanyika sehemu tunaisubiri ufunguzi! Wewe eti Watanzania si wamoja! Si wa Moja wa nyoko!!!
Huna akili wewe. Kukusanyika ndiyo nini? Kama unafikiri ni wa moja hizo singeli za nn uwanjani? Unamdanganya nani?
 
Kwa Wananzengo wenzangu.
Kama mnavyofahamu kipenga cha kufungua Michuano ya Fainali za Afrika kwa wachezaji wa ndani maarufu kama CHAN kwa mwaka 2025, kinapulizwa leo kwenye ardhi ya Kambarage wa Butiama. Hii ni mara ya kwanza kwa Tanzania kuwa mwenyeji wa fainali hizi.

Lakini katika hali ya kushangaza, hakuna shamrashamra zozote kuelekea michuano hiyo. Ukiachana na Tamasha la Singeli, hakuna amsha amsha zile za kuhamasisha watu kuelekea fainali hizo. Hamasa ya National timu, inazidiwa na hamasa ya Ndondo Cup. Juzi nimesafiri kutoka Posta mpaka Mbezi, sikuona Billboard hata moja inayoonyesha Tangazo la fainali hizo. Ni kweli wizara imeshindwa kufanya organisation ya hamasa?

Simba na Yanga huwa wanafanikiwaje kuhamasisha mechi zao?
Au kila mmoja yuko busy na Maandalizi ya Uchaguzi?

Ukipita kwenye vijiwe vya kahawa mjini, hakuna anayezungumzia fainali hizo. Vyombo vya habari na influencers nao hawajafanya vizuri. Je, wamekosa mtu wa kuwaorganise au wamesusa? Je, watu wamekosa uzalendo kwa nchi kiasi hiki? Au ni hujuma kwa serikali ionekane haifanyi kazi yake vizuri?
Mbona watu wa Chama wameweza kuweka Mabango njia zote na mengi kweli. Tunashindwaje kwa jambo la nchi?
TUJISAHIHISHE.
Ukiona hivyo ujue hakuna ushabiki wa mpira
 
2 August 2025


View: https://m.youtube.com/watch?v=bCk9D0s9fTg

Roads leading to Kasarani, Nyayo Stadiums will be closed tomorrow...


View: https://m.youtube.com/watch?v=OlBHW3wYxes

The Moi International Sports Centre KASARANI. With the installation of Digital /Led /Advertising Boards, Sound system & screens are done.

View: https://m.youtube.com/watch?v=KN7m1vofcsU

Kwenye hili, tunapaswa kujifunza kwa wenzetu. Nilienda Africa kusini kwenye kombe la Dunia, hamasa ya wananchi, vyombo vya habari na serikali ilikua juu sana. Kila mtu alikua anazungumzia fainali hizo.
Hapa kwetu kila kijiwe unachopita, watu wanazungumzia Siasa za Uchaguzi wa CCM tuu. Maybe ni bad timing au tumeshindwa kuyapa mashindano haya hadhi yake.
Wakati CAF wanakuja kufanya Uzinduzi wa Mashindano ya Africa ya Vilabu, mwaka juzi simba ilianza na Al Ahly, hamasa ilikua juu, uwanja Ulijaa mapema. Kila mgeni aliyefika, akajua Tanzania ni nchi ya Mpira.
Leo hii kwenye uwanja ule ule tena kwenye mashindano yenye hadhi kubwa zaidi yanayoijumuisha timu ya Taifa, mpaka muda huu Uwanja haujafika hata robo tatu yake kujaa.
 
Hapa kwetu kila kijiwe unachopita, watu wanazungumzia Siasa za Uchaguzi wa CCM tuu. Maybe ni bad timing au tumeshindwa kuyapa mashindano haya hadhi yake.

Kimataifa vile vijiwe vya spoti mitandaoni na spoti AM ktk vituo vya televisheni hawawezi kualika na kuendesha mijadala ya michuano hii ya kimataifa. Au Umualika mwanamichezo amayeongea kiingereza kufika ktk kijiwe spoti mtandaoni au ktk kituo cha televisheni waongee na kuuliza maswali kwa lugha fasaha ya kiEnglish
 
Huna akili wewe. Kukusanyika ndiyo nini? Kama unafikiri ni wa moja hizo singeli za nn uwanjani? Unamdanganya nani?
Sasa kupiga singeli uwanjani ndio inamaanisha Watanzania si wamoja? Kwakweli utakuwa ulitungiwa mimba vichakani wewe!!
 
Muda BADO WAKUU jamu lazima kiwepo WATU wana MISHE zao SA mnataka wajadili mpira SIKU MZIMA WAKUU. Tz ishindwe yenyewe tu mtiti Kenya na Uganda HAO hawatoboi.......



Kwishaaaaaaaaaaaaaa
 
Kwa Wananzengo wenzangu.
Kama mnavyofahamu kipenga cha kufungua Michuano ya Fainali za Afrika kwa wachezaji wa ndani maarufu kama CHAN kwa mwaka 2025, kinapulizwa leo kwenye ardhi ya Kambarage wa Butiama. Hii ni mara ya kwanza kwa Tanzania kuwa mwenyeji wa fainali hizi.

Lakini katika hali ya kushangaza, hakuna shamrashamra zozote kuelekea michuano hiyo. Ukiachana na Tamasha la Singeli, hakuna amsha amsha zile za kuhamasisha watu kuelekea fainali hizo. Hamasa ya National timu, inazidiwa na hamasa ya Ndondo Cup. Juzi nimesafiri kutoka Posta mpaka Mbezi, sikuona Billboard hata moja inayoonyesha Tangazo la fainali hizo. Ni kweli wizara imeshindwa kufanya organisation ya hamasa?

Simba na Yanga huwa wanafanikiwaje kuhamasisha mechi zao?
Au kila mmoja yuko busy na Maandalizi ya Uchaguzi?

Ukipita kwenye vijiwe vya kahawa mjini, hakuna anayezungumzia fainali hizo. Vyombo vya habari na influencers nao hawajafanya vizuri. Je, wamekosa mtu wa kuwaorganise au wamesusa? Je, watu wamekosa uzalendo kwa nchi kiasi hiki? Au ni hujuma kwa serikali ionekane haifanyi kazi yake vizuri?
Mbona watu wa Chama wameweza kuweka Mabango njia zote na mengi kweli. Tunashindwaje kwa jambo la nchi?
TUJISAHIHISHE.
Tupo busy na NRNE Usitutoe kwenye reli
 
HAMASA ZA CHAN 2024 TANZANIA:


View: https://m.youtube.com/watch?v=gy21uauBPU0
“Sisi upande wa shirikisho timu ipo sawasawa”Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema amesema maandalizi yamekamilika, kilichobaki sasa ni Watanzania kujitokeza kwa wingi uwanjani kuwapa nguvu wachezaji.Karia pia amewaomba mashabiki kuendelea kujitokeza uwanjani hata kama Tanzania haichezi.
 
Back
Top Bottom