kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Je, ni kweli kwamba Tanzania hakuna 4g?hii tunayotumia ni 3.5g na tumedanganywa na makampuni ya simu?
Wakuu nasikia hii 4g ya Bongo ni ya uongo na kwamba walichofanya wameleta tu 3g ya ulaya Marekani au China na kutuaminisha kuwa na ni 4G
Wanasema hii 4g ya Bongo ni chenga tu na ni sawa na 3G tu ya Marekani au Ulaya
Hii ni kwasababu unakuta mfano halotel 4G, au Airtel au TTCL 4G kasi yake ni mwendo wa kobe sana.
Wengine waliokaa nje wanasema hivyo hivyo kwamba wameexprience 4G ya Ulaya na marekani au China haipo slow kama ya Bongo na kwamba ya huku ni 3G tu ya Ulaya imeletwa ikavikwa vazi la 4G.
Wengine wanadai wenye 4G halisi ni voda tu hao wengine ni 3.5 g tu au HSPDA+
Pia kama ilivyo 3g ina vitawi kama 3.5G,H, H+, nk. Vipi 4G ya bongo mbona haina vitawi kama zilivyo 4g za ulaya unakuta ina Lte, B, B2, etc.
Pili, je ni kweli kuna simu zina 3G au 4G ya uongo?kwa mfano kuna simu nyingi kutoka china hazina HSPDA technology kabisa aka H+ hizi simu ndo zile unakuta zinaandikaga 3G au 4G tu bila kuandika h+ au mengineyo hata ukizima data utakuta zimeandika G au 3G au 4G hizi simu ambazo nyingi ni za china jee zimeweka 4G au 3G feki?