Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Kuna mambo mawili hapa nataka kuweka sawa.
Kuna 4G ( Masafa/ Frequency)
Kuna 4G (Band width/ speed)
Masafa ya 4G ni kweli yapo na yanatumika hapa kwetu. Minara ya simu inarusha na simu zetu zinapokea ndio maana tunaona 4G/ LTE ikidisplay kwenye simu/ Vifaa vyetu
Kwa upande wa Bandwidth au kwa namna rahisi speed ya internet ndio changamoto. Hatupati kile kitu kinachotarajiwa kipite kwenye masafa hayo.
Ki msingi ni kweli tuna Gari la tani 4 lakini mzigo linaibeba ni wa tani 3 kushuka chini.
Naomba niishie hapo.