Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Voda wana speed nzuri sana kama ya mbele tu,shida ipo kwenye bando lao,linaisha haraka sana4G ya uongo ni ya Airtel tu
Iyo speed nzuri ndo inafanya bando lako liishe haraka.Voda wana speed nzuri sana kama ya mbele tu,shida ipo kwenye bando lao,linaisha haraka sana
Mnaibiwa,nishatumia gb 20 za holland kwa kudownload,kuwatch netflix,youtube na mambo mengine kibao online kwa mwezi mzima,gb 20 za voda Tanzania kwa router ile ile niliyotumia holland pasipo kudownload,kuwatch netflix,youtube kwa kuibia sana,azimalizi siku 10,hizo kampuni za simu haziwezi kufanya ujinga huo nchi za ulaya,afrika tu ndio inawezekanaIyo speed nzuri ndo inafanya bando lako liishe haraka.
Kuna mambo mawili hapa nataka kuweka sawa.
Kuna 4G ( Masafa/ Frequency)
Kuna 4G (Band width/ speed)
Masafa ya 4G ni kweli yapo na yanatumika hapa kwetu. Minara ya simu inarusha na simu zetu zinapokea ndio maana tunaona 4G/ LTE ikidisplay kwenye simu/ Vifaa vyetu
Kwa upande wa Bandwidth au kwa namna rahisi speed ya internet ndio changamoto. Hatupati kile kitu kinachotarajiwa kipite kwenye masafa hayo.
Ki msingi ni kweli tuna Gari la tani 4 lakini mzigo linaibeba ni wa tani 3 kushuka chini.
Naomba niishie hapo.