Kama hujui unasema sijui. Mwizi ni yule anayekimbilia kumnawilia mwenzake wakati aliiba hadi twiga kapandisha ndege. Fedha za viroba, Richmond, Epa, Kagoda, China, akaweka na waziri asiyesoma kuwa waziri wa elimu, elimu ikafa, hadi baraza la mawaziri likvunjwa kwa maana pm alijiuzuru ili kumlinda yeye. Fedha zote hizi ni ufisadi na wizi wa hadharani. Alikopa mikopo isiyojulikana ni ya nini na ilifanya nini. Nchi ilikuwa inachuzwa kama peremende. Nani asiyejua? Acheni dhambi za kuficha uharifu kwa sababu ya partialities.Ndiyo
- Alifilisi pesa zote katika mashirika ya hifadhi ya jamii
- Alianza kuchungulia katika account za watu na kuchota pesa zao
- Wakuu wa wiaya wengine nao walianza kuwa wezi akawa anawaangalia tu hadi wengine wamekamatwa na kufikishwa mahakamani na kufungwa
- Alitaifisha michango ya wananchi kwa wananchi wenzao waliopatwa na maafa ya tetemeko la ardhi huko Bukoba alizipeleka fedha hizo kusikojulikana
- Mkaguzi na mdhibiti wa fedha za serikali alikuta kuna upotevu wa shs tillion maja na nusu alivyotoa taarifa aliondolewa madarakani kinyume na taratibu
Yule alikuwa ni zaidi ya shetani kabisaNdiyo
- Alifilisi pesa zote katika mashirika ya hifadhi ya jamii
- Alianza kuchungulia katika account za watu na kuchota pesa zao
- Wakuu wa wiaya wengine nao walianza kuwa wezi akawa anawaangalia tu hadi wengine wamekamatwa na kufikishwa mahakamani na kufungwa
- Alitaifisha michango ya wananchi kwa wananchi wenzao waliopatwa na maafa ya tetemeko la ardhi huko Bukoba alizipeleka fedha hizo kusikojulikana
- Mkaguzi na mdhibiti wa fedha za serikali alikuta kuna upotevu wa shs tillion maja na nusu alivyotoa taarifa aliondolewa madarakani kinyume na taratibu
Lakini hata huyo aliyemsema jamaa hapo ni mwizi mpaka alitumia MaDC kufanya wizi.Kama hujui unasema sijui. Mwizi ni yule anayekimbilia kumnawilia mwenzake wakati aliiba hadi twiga kapandisha ndege. Fedha za viroba, Richmond, Epa, Kagoda, China, akaweka na waziri asiyesoma kuwa waziri wa elimu, elimu ikafa, hadi baraza la mawaziri likvunjwa kwa maana pm alijiuzuru ili kumlinda yeye. Fedha zote hizi ni ufisadi na wizi wa hadharani. Alikopa mikopo isiyojulikana ni ya nini na ilifanya nini. Nchi ilikuwa inachuzwa kama peremende. Nani asiyejua? Acheni dhambi za kuficha uharifu kwa sababu ya partialities.
Una ushahidi? Miradi aliyokuwa anajenga, inamtetea. Yule wa nne ndiye muasisi wa watu wasiojulikana kama hamjui. Watu walitekwa, wakang'olewa meno na kucha bila ganzi, vifo vya kina Dr. Mvungi na wengineo. Jamaa amekimbilia kujifanya mentor ili aendeleze umfia wake bila kuguswa. Jamani Wtz iweni na tahadhari badala ya kuongea tu kwa sababu za kujiburudisha. Jamaa ni balaa.Lakini hata huyo aliyemsema jamaa hapo ni mwizi mpaka alitumia MaDC kufanya wizi.
Sawa yule alikua mwizi...na yule wa March 17 alikua mwezi pia visasi na roho mbaya vilitamalaki...kuthibitisha kua alikua mwizi CAG aliposanua upotevu wa 1.5trilioni akamfanyia zengwe akatolewa..Una ushahidi? Miradi aliyokuwa anajenga, inamtetea. Yule wa nne ndiye muasisi wa watu wasiojulikana kama hamjui. Watu walitekwa, wakang'olewa meno na kucha bila ganzi, vifo vya kina Dr. Mvungi na wengineo. Jamaa amekimbilia kujifanya mentor ili aendeleze umfia wake bila kuguswa. Jamani Wtz iweni na tahadhari badala ya kuongea tu kwa sababu za kujiburudisha. Jamaa ni balaa.
Yule alikuwa ni zaidi ya shetani kabisa
Mgagagigikoko ni jizi likubwaInawezekana Samia si katika hao na ndio ikawa shida kwa viongozi wa serikali ambao wameota mizizi ndani ya serikali tokea tupate Uhuru na hata maraisi wastaafu wanaonekana wakijichomeka kung'ang'ania serikali na sio serikali bali Raisi mpya anaeingia madarakani.
Hisia zinaonyesha kuna magenge ambayo mazoea yao yanaonekana kukatika au kukatwa na sasa wanafanya juu chini ili kutafuta mbadala wa Samia ili wizi uendelee kama kawaida.
Ndio nikauliza Tanzania imewahi kuwa na Raisi kibaka ?
Vipi anayepora pesa za Watanganyika na kuzihamishia Zanzibar, yeye siyo mwizi?Yule alikuwa ni zaidi ya shetani kabisa
Hayo ni majungu, na hayana proof kwamba ni yeye alihusika moja kwa moja. Alimlipiza nani visasi? Alimfanyia nani roho mbaya? Wewe unawezaje kujua zil 1.5t, ziliibiwa na yeye mwenyewe kwa maslahi yake binafsi? Naomba uwe specific. Sisi wanaume wengine hatupendi sana mitaarabu na mipasho isiyokuwa na grounds. Jitahidi kutusaidia msingi wa hoja.Sawa yule alikua mwizi...na yule wa March 17 alikua mwezi pia visasi na roho mbaya vilitamalaki...kuthibitisha kua alikua mwizi CAG aliposanua upotevu wa 1.5trilioni akamfanyia zengwe akatolewa..
Kubali kataa alikua mwizi
Wote ni takataka tupuVipi anayepora pesa za Watanganyika na kuzihamishia Zanzibar, yeye siyo mwizi?
Wa nne alifanya miradi mingi kuliko huyo jambazi #5,so. Wote walikwara,ila huyu #5 alikuwa mkora katili,afadhali yule #4 alikwara akawaachia na nyie kidogo mkala mkashiba,huyu wa juzi kati hapa alitamani watu wafe atawale maiti.Una ushahidi? Miradi aliyokuwa anajenga, inamtetea. Yule wa nne ndiye muasisi wa watu wasiojulikana kama hamjui. Watu walitekwa, wakang'olewa meno na kucha bila ganzi, vifo vya kina Dr. Mvungi na wengineo. Jamaa amekimbilia kujifanya mentor ili aendeleze umfia wake bila kuguswa. Jamani Wtz iweni na tahadhari badala ya kuongea tu kwa sababu za kujiburudisha. Jamaa ni balaa.
Naomba acha matusi, andika hiyo miradi bayana. Uzushi na uswahili hatutaki.Wa nne alifanya miradi mingi kuliko huyo jambazi #5,so. Wote walikwara,ila huyu #5 alikuwa mkora katili,afadhali yule #4 alikwara akawaachia na nyie kidogo mkala mkashiba,huyu wa juzi kati hapa alitamani watu wafe atawale maiti.
Unataka uthibitisho gani tena boss? Wakati hata yule DC wa Hai mahakamani alisema aliyokua akifanya alitumwa na huyo mzee,pia hata CAG alisanua hiyo ishu wakamuondoa sasa unataka nini?Hayo ni majungu, na hayana proof kwamba ni yeye alihusika moja kwa moja. Alimlipiza nani visasi? Alimfanyia nani roho mbaya? Wewe unawezaje kujua zil 1.5t, ziliibiwa na yeye mwenyewe kwa maslahi yake binafsi? Naomba uwe specific. Sisi wanaume wengine hatupendi sana mitaarabu na mipasho isiyokuwa na grounds. Jitahidi kutusaidia msingi wa hoja.
Kwa hiyo, mtu akisema ndio ushahidi? Huyo Sabaya alipokuwa anaiba alionyesha aliingiza kiasi gani kwenye account ya Magufuli au alimgawia kiasi gani cha pesa?Unataka uthibitisho gani tena boss? Wakati hata yule DC wa Hai mahakamani alisema aliyokua akifanya alitumwa na huyo mzee,pia hata CAG alisanua hiyo ishu wakamuondoa sasa unataka nini?
JPM miundo mbinu amejenga kwa kiasi chake lakini na yeye kwemye kundi la wapigaji huwezi kumtoa ndo maana utawala wake hakukua na uwazi hata kidogo sasa kama unaleta mapenzi shauri yako.