Je, Tanzania imewahi kuwa na Rais mwizi?

Tufanye Sabaya anamsingizia vile ile 1.5Trilioni aliyosanua CAG ikamsababisha ugomvi akatimuliwa?
 
Reactions: Qwy
Magufuli alikuwa mwizi mpaka anajiibia mwenyewe. Kama anaweza kusema tunajenga miradi kwa 'hera' zetu wenyewe na sisi ni 'dona kantre' kumbe anakopa kisirisiri huo si wizi uliokubuhu?
Kama kungekua na uwazi nchii hii yaani huyo jamaa ndo alikua balaa sema ndo hivyo aliokula nao wapo kwenye system bado wanaona haya kujivua nguo..

Huyo mzee kipindi chake alifunga watu midomo ili yake yasisemwe hata kidogo lakini kaiba pia...

Kuhusu swala la wizi watanzania wote sisi wezi tumetofautiana tu fursa za kuiba...sasa huyo jamaa analeta mahaba.
 
Meko alikuwa jambazi haswa
 
Reactions: Qwy
Na fedha za tetemeko kagera akala.
 
Mwizi akikununulia soda anakoma kuwa mwizi? Ushahidi, ushahidi, unataka ushahidi gani zaidi ya ripoti ya CAG?
 
Reactions: Qwy
Kufa kwake hakuondoi ukweli kuhusu vitendo vyake vya kishetani alipokuwa hai. Mbona mpaka Leo mnatangaza unyama wa Iddi Amini au yeye yuko hai?
 
Unatutega?Nimewahi kusoma dibaji ya US$100 Mil.zilizochotwa kwa sababu watu wengine pia hujichotea!
 
Ni mwizi pia. Kuchukua pesa ulizopewa na jirani uwapelekee watoto wake walipe ada, wewe unanunua nguo za watoto wako huo ni Wizi wa Kuaminiwa.
Ndo nimesema hapa wote wezi...watanzania sisi sote tuna chembe chembe za wizi tunatofautiana viwango na fursa.
 
Reactions: Qwy
Kufa kwake hakuondoi ukweli kuhusu vitendo vyake vya kishetani alipokuwa hai. Mbona mpaka Leo mnatangaza unyama wa Iddi Amini au yeye yuko hai?

Wengine mnatakaga sifa za kijingatu ilimradi uonekane nawewe unalialia.

Upuuzi mtupu,unaweza kudhibitisha huo ushetani wake ama ni bendera fataupepo.

Alafu unalinganisha nini kati ya Iddi Amini na huyo unaemuita shetani.
 
Hana hoja huyo ,namfahamu kilasiku nyimbo zao ninzile zile 1.5 T kwenye koras.
 
Chama kile chenye members wa kujivua Magamba?? Kile kinachomiliki channel ya kumi?

Haahaaaa ZZK njoo na Ile list ya Uswizi!

Everyday is Saturday..........................................😎
Wezi wote maarufu wapo ccm na wanalipwa kiinua kiuno cha asilimia 65-80 ya mishahara ya waliopo,wanakula mema ya mama Tanzania.
Wote ni wale wale jana leo na kesho-kama hatuwaondoi sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…