Je, Tanzania imewahi kuwa na Rais mwizi?

Huyu mtu hata kama kafa lakini afikishwe mahakamani kwa makosa haya

1. Upotevu wa pesa 1.5 trillion
2. Ujenzi holela wa miradi huko chato
3. Mauwaji utekaji utesaji dhuluma aliyoifanya akiwa kabla ya kutwaliwa
4. Ubomoaji wa makazi ya watu kimara


Ukitaka kujua kuwa lilikuwa jitu baya angalia ghorofa la tanesco ubungo lilivyobomolewa kiharibifu wakati barabara Iko umbali wa zaidi ya MITA 30.

Alikuwa rais mharibifu sana
 
Umeandika upumbavu mtupu! Mwizi ambaye hata watoto wake wanaishi maisha ya kawaida hauna hata aibu kumtuhumu! Mwizi anayejenga flyover,sgr,umeme,hakuna tozo n.k huyo ndiye mwizi watanzania waliyemtaka [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais anayejidai shs 1.5 trillion hajui zimetokomea wapi.
Mwingine fedha za ESCROW sio za serikali
 
Every body is the thief ..kina movie nilishawa ona ya movie namna hiyo
 
Itangazwe tu trilion kadhaa hazijulikani zimepotelea wapi Ndio iwe basi,issue imefungwa ? Bunge haliwezi kuhoji,Raisi ndio achague mdhibiti mwengine,basi raha sana hata Samia nae akwapue chake mapema kisha ambadilishe mdhibiti wa hesabu ,ajabu watu hawa hawachelewi kumtaja Mungu na kuwa wanamuogopa,kanzu na vitarabushi wapo mstari wa mbele.

Ali Hassan Mwinyi sijawahi kusikia kama hela ilipotea ni mtu wa Mungu.
 
Ukiacha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Mchonga meno....!
 
Ukiacha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Mchonga meno....!
 
Kama aliiba zipo wapi Sasa? hizo ni hela nyingi sana mkuu....sidhani kama inawezekana kuiba pesa zote hizo...hili siamini kabisa.
Kuna mtu angeweza kumwambia kitu? Kisa cha Prof Assad kufukuzwa u CAG ni nini?
 
RAIS NI NYERERE TU AKIFUATIWA KWA MBALI NA MKAPA MWISHO WA HABARI
 
Kuna nchi Twiga walipanda ndege.

Watu wakabeba fedha kwenye mifuko baada ya Rais kusema fedha si mali ya Serikali.
 
Unataka kukausha bahari kwa kuchota maji ukitumia ndoo, duh!
Kipi kilichosababisha CAG kupigwa chini kinyume cha sheria/utaratibu/katiba?
 
Report ya CAG, ilisema alizichukua akazipeleka wapi?
Mtu aliyeiba ndiyo anapaswa kusema au anapaswa kubanwa mpaka aseme alikozificha, nani angeweza kumbana Jiwe mpaka aseme?
CAG yeye alibaini kuwa 1.5trn imepigwa na akataka kuuvalia njuga upigaji huo hivyo akapigwa chini tena kinyume cha sheria.
 

Swali: Je Tanzania itakuja kuwa na Rais asiyeiba?
 
Wengine mnatakaga sifa za kijingatu ilimradi uonekane nawewe unalialia.

Upuuzi mtupu,unaweza kudhibitisha huo ushetani wake ama ni bendera fataupepo.

Alafu unalinganisha nini kati ya Iddi Amini na huyo unaemuita shetani.
Hao mashetani wawili Nduli Amini na Nduli Jiwe wote walikuwa wauaji, usipokubaliana na mawazo au mipango ya ujue unatafuta kifo, walijitengenezea mazingira ya kutawala milele.
Kwa kutaja tu machache.
 
Kama aliiba zipo wapi Sasa? hizo ni hela nyingi sana mkuu....sidhani kama inawezekana kuiba pesa zote hizo...hili siamini kabisa.
Kwa hivyo CAG alidanganya? Na alidanganya kwa faida ya nani?
Kwanini hakuachwa afanye kazi yake mpaka amalize hilo suala la huo upotevu/wizi wa 1.5trn inayojadiliwa hapa.
 
Jamaa alikuwa na roho mbaya sana yule.
Kiwanda chetu cha kutengeneza vyeti feki pale Buguruni alikiua hadi leo hatuna kazi.
Mzee wetu alikuwa analamba mishahara ya wafanyakazi hewa kama sita hivi, JPM akatibua hadi leo anaishi kwa mshahara wake. Kakoonda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…