utukufu mwanjisi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2017 Posts 2,849 Reaction score 2,508 May 4, 2019 #1 Hivi wakuu mpaka sasa majaji wako wangapi Tanzania hii? pia yale magari sijui Jaji 1,Jaji 30 sijui ngap ngap huko yote yanatumia mafuta kulipiwa na serikali? Pia mishahara yao ipoje jaman? mana mh
Hivi wakuu mpaka sasa majaji wako wangapi Tanzania hii? pia yale magari sijui Jaji 1,Jaji 30 sijui ngap ngap huko yote yanatumia mafuta kulipiwa na serikali? Pia mishahara yao ipoje jaman? mana mh