Je Tanzania inaenda kwenye utawala wa kifamilia? Kama hata CCM ni ndiyo Mama ndiyo Baba tutafika sehemu familia chache tu na ndugu zao ndiyo watakuwa watawala wa nchi hii kama Uganda au Rwanda. Kibaya huu sio utamaduni wetu na watu wanapenda demokrasia. Watanzania tuna utamaduni karibu na wa Kenya kuliko Uganda au Rwanda. Kuweni makini hata kama ni CCM jipeni muda wa kuangalia mambo kwa undani wake na fikiria kama mtu huru.
1. Familai ya Kikwete
2. Familia ya Mwinyi
3. Familia ya Samia
4. Familia ya Magufuli
Hasa 1,2,3 ndiyo wenye uchungu wa madaraka. watajipa ubunge, uwaziri, ubalozi........... na kuuwa wapinzani wote wa ukweli hata kama wapinzani hao wanasema na kufanya mambo ya faida ya kitaifa