Je, Tanzania inataka kuchapisha pesa mpya hivi karibuni? Instagram Algorithm imetushtukia

Je, Tanzania inataka kuchapisha pesa mpya hivi karibuni? Instagram Algorithm imetushtukia

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
‘Instagram Algorithm’ ni mfumo wa unaotumika kwenye matangazo mbali mbali ya kibishara amabpo mtumiaji huwa analetewa matangazo yale yanayomusu kwankiwango kikubwa kulingana na viashiria mbalimbali (data collection) inavyovipata mtandaoni.

Sasa Tanzania tunaletewa hili tangazo la mfumo wa usalama wa uchapishaji pesa, na tunaletewa kwa nguvu sana. Ne, mfumo umenusa viashiria gani huko serikalini?

Tangazo lenyewe hili hapa


View: https://instagram.com/p/DC3y9avg793/

=======================
22/01/2025

 
Back
Top Bottom