Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
- Thread starter
- #21
Sasa naona Tanzania imepeleka Vikosi chini ya mwavuli wa SADC!Kupitia Umoja wa Mataifa( MONUSCO) Tanzania ina kikosi Congo cha Maaskari walinda amani. Toka mwaka 2013 hivi, ambapo nchi zinazochangia MONUSCO ni Tanzania askari kama 2,000, Malawi askari kama 300, South Africa askari kama 600, na Ukraine askari kama 800 (Ukraine kikosi chao kilijitoa MONUSCO mwaka jana kurudi nyumbani kuisaidia nchi yao kwa vita vyao na Urusi na waliondoka na vifaa vyao vya kijeshi). Kwahiyo Tanzania inachelewa kupeleka kikosi kwa njia ya Africa Mashariki kwa sababu ya kuepusha mgongano wa kimaslahi, kwamba haiwezekani ikawa na Kikosi cha kulinda amani cha MONUSCO alafu ikawa na kikosi pia cha kuondoa na kunyang'anya siraha waasi. Kofia mbili azitakiwi.
Big up tanzania kwa kupigania Africa dhidi ya mahalamia