Demokrasia hakuna nchi duniani iliyo na demokrasia kwa misingi ya demokrasia. fkiria hata US hawana demokrasia kwa kuwa demokrasia si tu kuhusu kingine bali haswa katika kuhesabu kura ni kipimo maalumu sana cha demokrasia. Hakuna nchi duniani ambayo hakuna kauli baada ya uchaguzi kama ooo unajua kura hazikuhesabiwa vizuri na zinazofanana na hizo. Hii ni ishara hamna demokrasia. Sasa Tanzania maskini ya Mungu hii kauli hadi uchaguzi wa class monitor chekechea kauli hizi zipo. Jadili mwenye au now you are on your own!!!!