FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Wadau mbona mie kila nikijaribu kufatilia siasa sijawahi kuhisi kama haka ka nchi ketu kana demekrasia jamani???
natamani kuishi nyuma ya dunia
natamani kuishi nyuma ya dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Demokrasia hakuna nchi duniani iliyo na demokrasia kwa misingi ya demokrasia. fkiria hata US hawana demokrasia kwa kuwa demokrasia si tu kuhusu kingine bali haswa katika kuhesabu kura ni kipimo maalumu sana cha demokrasia. Hakuna nchi duniani ambayo hakuna kauli baada ya uchaguzi kama ooo unajua kura hazikuhesabiwa vizuri na zinazofanana na hizo. Hii ni ishara hamna demokrasia. Sasa Tanzania maskini ya Mungu hii kauli hadi uchaguzi wa class monitor chekechea kauli hizi zipo. Jadili mwenye au now you are on your own!!!!