Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
At least wewe umeongea point..!Agustino Peter Magari "Peter Tino" ambaye mwaka 1980 alitupeleka Lagos kwa bao lake la ugenini kwa kuifunga Zambia. Kumbuka ni mara ya kwanza na mwisho mpaka leo Tz hajawahi kufuzu Afcon na Tino bado yuko hai na hakuna Tino mwingine aliyezaliwa kutufikisha hapo.
hakuna mchezaji kama huyu kuwahi kutokea tanzaniaSunday Manara Computer
kibadeni alikua anarukaruka tu huwezi mlinganisha na manara computerTupo mtu mwingine Anaitwa abdalah kibadeni. King. Usisahau kuwa huyo ndie alichaguliwa kuwa mchezaji WA karne mwaka 2000..maana ktk uchezaji kufanya mengi na hata ktk ukocha hakuna kocha aliemfikia rekodi zake.