Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Wakijaribu kunyanyua midomo wapo vijana wa chama wanawachambaJe, Taifa halina wenyewe kiasi kwamba Rais wa nchi ndivyo anakuwa final, na nchi imekosa Wastaafu wa dhati kabisa kusema kauli njema zenye kuakisi tunu ya hekima na busara za Taifa hili, seriously?
Are we in a dead state? Like serious? The state is torn to that extent?
Uhuru wa maoni ya kushauri ulikufa, kukemea maovu kumekufa?
Maskini, Mstaafu, Asiye na Cheo hana haki ya kusema, are we serious?
Masikitiko makubwa, ni aibu sana, watu wanakaa kimya kwenye mambo ya msingi?
Annoyed π π π
Wadiz
Hatimaye litakuwa Taifa linaloenda mbele kwa kurudi nyuma, Taifa Mithili ya mshumaaWakijaribu kunyanyuq midomo wapo vijana wa chama kina Ally hapi wabawachamba
Wakati watu wanataka katiba mpya si uliwaona viazi?Je, Taifa halina wenyewe kiasi kwamba Rais wa nchi ndivyo anakuwa final, na nchi imekosa Wastaafu wa dhati kabisa kusema kauli njema zenye kuakisi tunu ya hekima na busara za Taifa hili, seriously?
Are we in a dead state? Like serious? The state is torn to that extent?
Uhuru wa maoni ya kushauri ulikufa, kukemea maovu kumekufa?
Maskini, Mstaafu, Asiye na Cheo hana haki ya kusema, are we serious?
Masikitiko makubwa, ni aibu sana, watu wanakaa kimya kwenye mambo ya msingi?
Annoyed π π π
Wadiz
Mabadiliko ya tabia nchi yamesababisha chawa kuwa wengi na kuwasilimisha.Je, Taifa halina wenyewe kiasi kwamba Rais wa nchi ndivyo anakuwa final, na nchi imekosa Wastaafu wa dhati kabisa kusema kauli njema zenye kuakisi tunu ya hekima na busara za Taifa hili, seriously?
Are we in a dead state? Like serious? The state is torn to that extent?
Uhuru wa maoni ya kushauri ulikufa, kukemea maovu kumekufa?
Maskini, Mstaafu, Asiye na Cheo hana haki ya kusema, are we serious?
Masikitiko makubwa, ni aibu sana, watu wanakaa kimya kwenye mambo ya msingi?
Annoyed π π π
Wadiz
Sio kweli mkuu, Butiku na Warioba hujitokeza waziwazi kukemea mambo yanayofanyika ya ovyo,mpaka waliwahi ambiwa na utawala fulani eti, Wanawashwa washwa!Je, Taifa halina wenyewe kiasi kwamba Rais wa nchi ndivyo anakuwa final, na nchi imekosa Wastaafu wa dhati kabisa kusema kauli njema zenye kuakisi tunu ya hekima na busara za Taifa hili, seriously?
Are we in a dead state? Like serious? The state is torn to that extent?
Uhuru wa maoni ya kushauri ulikufa, kukemea maovu kumekufa?
Maskini, Mstaafu, Asiye na Cheo hana haki ya kusema, are we serious?
Masikitiko makubwa, ni aibu sana, watu wanakaa kimya kwenye mambo ya msingi?
Annoyed π π π
Wadiz
Sasa kuna Nini kama wezee hawaheshimiwi,maandamano ya Amani wanakataa kwa mtutu wa bunduki!Warioba- Tulipohoji mihimili kuingiliwa tuliambiwa Tunawashwa washwa