Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Je, Taifa halina wenyewe kiasi kwamba Rais wa nchi ndivyo anakuwa final, na nchi imekosa Wastaafu wa dhati kabisa kusema kauli njema zenye kuakisi tunu ya hekima na busara za Taifa hili, seriously?
Are we in a dead state? Like serious? The state is torn to that extent?
Uhuru wa maoni ya kushauri ulikufa, kukemea maovu kumekufa?
Maskini, Mstaafu, Asiye na Cheo hana haki ya kusema, are we serious?
Masikitiko makubwa, ni aibu sana, watu wanakaa kimya kwenye mambo ya msingi?
Annoyed 😠😠😠
Wadiz