Je, Tanzania kwa sasa inao bodaboda wangapi? Au pikipiki zipo ngapi Tanzania

IMG_0177.jpeg
 
P/s, if u don't mind, elaborate a bit as to why there is a drop in number of motorcyles between 2016 (1,280,000) and 2021 (1,047,659) a difference of 233,000 motorcycles.
1. Je, Hiyo tofauti inatokana na Ongezeko la ajali au wanajamii wamezishtukia pikipiki na hawanunui tena au wahusika walibadilisha ajira baada ya kufanikiwa ktk awamu ya kwanza au zimepanda bei au ikoje? Asante.
 
2016-17 walianza kutumia number plate zao MC.

Kuna baadhi ya old number plate T123AAA hawakuenda ku-update.

Source: Trust me Bro.
 
P/s, if u don't mind, elaborate a bit as to why there is a drop in number of motorcyles between 2016 (1,280,000) and 2021 (1,047,659) a difference of 233,000 motorcycles.
1. Je, Hiyo tofauti inatokana na Ongezeko la ajali au wanajamii wamezishtukia pikipiki na hawanunui tena au wahusika walibadilisha ajira baada ya kufanikiwa ktk awamu ya kwanza au zimepanda bei au ikoje? Asante.
Wamiliki bqjaji wengi walinunua daladala na nyingine ziliondoka barabarani kwa sababu ya uchakavu
 
Hivi bajaji nao ni katika kundi la bodaboda eti? (Asante nilikuwa sijui). Kwani zilizo chakaa hazikuwa replaced hata moja ? Nilivyomuelewa mtoa Hoja ni kwamba ifike mahali tuweze kutamka kwa uhakika Idadi ya pikipiki zilizopo na zinazotoa huduma almaarufu kama bodaboda. Hii ni hoja muhimu sana kwani hiyo ni Ajira katika Sekta binafsi.
 
Kwani ulikuwa na matarajio gani (Vision) ulipokuwa chuo? Ok; Kwa sasa umeshazoea unaonaje hapo au ndoto zako bado ni zilezile za chuoni?
Nilivyokuwa chuo vision ilikuwa nipate ajira kwenye kitengo kama TRA au Bandarini halafu niwe napiga hela....sasa hivi sina muda wa kuota nakabiliana na reality ya maisha
 
Very good. Kumbe theories za chuoni, watu au tunadanganyana au haziakisi ukweli na uhalisia wa maisha.
 
Back
Top Bottom