Je, Tanzania ni nchi ya hatari kama Wizara ya Mambo ya Nje ya Singapore ilivyoeleza?

Kwa alert hizi ni dhahiri kuna jambo linaandaliwa/litatokea.
 
Reactions: I M
 

Attachments

  • 1728759764686.jpg
    154.8 KB · Views: 2
Mama Yao na chawa kaharibu sana Tanzania.Toka arithi urithi wake Kila siku watu wanatekwa na kuuawa.Tumejionea Ali kibao kauawa kikatili sana mchana kweupe mbele ya umati wa watu Kwa maagizo yake.Sativa,soka,nondo,mbise, wate kawateka.Kwa Sasa Nchi inaongoza Kwa kukosa amani kuliko Nchi yeyote duniani.
 

Kuvuja kwa pakacha....
 
Anayeelewa hapa anisaidie tafadhali
Kwenye ATM kuna kifaa hua kinaweka pale pale unapoingiza ATM card yako kinachoweka kunakili taarifa zilizo kwenye card pamoja na camera kidogo inayoweza kumulika sehem ya kuandika password/ machaguo
Baada ya muda flani hawa wadukuzi hurudi na kuchukua vifaa vyao na kwenda kutengeneza card nyingine “duplicate” na inawawezesha wao kutoa hela kwenye account yako

Unaweza kuangalia video hii


View: https://youtu.be/C5z8JZk7bsI?si=g0No8o20DsDgI-hh
 
Matukio yetu ya utekaji yamesambaa kila mahal sasa.
 
Noma sana.. Nasubiria China watoe tahadhari kwa raia wao ndiyo nitaamini tofauti na hapo hii itakua hujuma
 
Tanzania hatujali uhai wa mtu kabisa, mbaya zaidi mtu anafariki kwa makusudi ya mwanadamu mwingine kwa tulivo na upeo mdogo tunasema “mungu amependa”
Mtaji wa Nchi yeyote ni watu, binadamu ndio unaweza kuTrain wakabadilisha muelekeo wa sayasni na teknoligia katika Nchi
Kwa Tanzania vyombo na ulinzi na usalama havijali kabisa kuhusu uhai wa mtu, tuliowateua/ walioteuliwa wameweka pamba kabisa masikioni wanaposikia kuna vifo kutokana na

1. Ajali za barabarani

2. Makosa ya Kibinadamu kama kudondoka gorofa la Kariakoo

3. Uuwaji wa kusudia kwasababu ya tofauti ya kimtazamo wa mawazo

4. Homicide,

Na mengine mengi,
Nashauri mfumo wetu wa elimu uboreshwe kwanzia level za huko chini watoto wafundishwe nini maana ya Haki ya kuishi kwa kila binadamu,
Umuhimu wa kusimamia na kufata sheria lakini pia kuheshimu mawazo ya kila mtu yawe madogo au makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…