Hata huko China wameamua moja kwamba jamani sisi Demokrasia hatuna hivyo hivyo huko Russia
Kakini hata Malawi, Zambia, Kenya, Botswana, SA wamechagua kwamba nchi zao ni za demokrasia
Wenzetu wa Uganda na Rwanda ni mfumo wa familia na uongozi wa mtu mmoja
Tanzania hatueleweke mara demokrasia lakini hatufuati hata hiyo demokrasia. Kuji fake fake huku hakusaidii yeyote kwenye nchi hii tutaishia kutekana, kupoteza pesa kwenye chaguzi fake, kunyanyasa watu kama Lissu ambao kosa lao ni kujaribu kuboresha hiyo hiyo demokrasia ambayo tunasema tunayo kwa kuwa na chaguzi za haki kwa wote.
Kwanini tusiamue moja kama nchi na tufanye tulicho amua kwa umakini ili tuone matunda yake. Tutauana bure hapa halafu Maraisi hao hao babdae wanakuja kujuta na kuishi kwenye jamii zilezile walizouza mali, kuumiza watu na hata kuwaua bila sababu.
Hivi kama nchi tujiulize kuna sababu gani muhimu leo ya Lissu kuwa jela? Je tukikasirika na kulipiza tunamakosa kweli? Kwani Samia hana ndugu, watoto na wajukuu kwani hao viongozi si binadamu tungetaka kuwapa uchungu wa kibinadamu tungeshidwa.
Je leo Adul mtoto wa Mama akitekwa kwasababu ya mawazo yake Mama atajisikia vitu tena kama mambo anayosema yapo kisheria !