Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe huwa mnalalamika hivi!Serilali na Ccm kwa sasa ni kama kamati ya hijja au baraza la maulid
Tanzania sio taifa la kidini ndio maana mahakamani kila mtu anakula kiapo kufuata na dini yake, kama itatokea hauna dini kuna taratibu zake, kwa mfano Mzee Kingunge alikua hana dini alikua anaapa kwa taratibu zake.Habari za saa wanachama wa hii platform pendwa, nilikuwa na swali muhimu kwenu wanachama lenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu.
Swali lenyewe muhimu ni hili:-
Je Taifa letu la Tanzania ni la kidini au sio la kidini ?
Tafsiri nyepesi zaidi ya swali langu ni hii: Je taifa letu Tanzania ni la wale tu wenye dini za kikristo na kiislamu[ ndizo dini za serikali ya Tanzania] au ni taifa lisilo egemea katika dini yoyote ile ?
Karibuni wajuvi wa mambo mpate kunijuza kwa faida yangu na ya wanachama wengine.
Lakini shughuli mbali mbali za kiserikali zimejishikiza katika dini hizi kuu mbili uislam na ukristo.Tanzania sio taifa la kidini ndio maana mahakamani kila mtu anakula kiapo kufuata na dini yake, kama itatokea hauna dini kuna taratibu zake, kwa mfano Mzee Kingunge alikua hana dini alikua anaapa kwa taratibu zake.
Asante kwa mchango wako mdau.ninachojua nikwamba serikali ya TANZANIA haina Dini, hivyo ndivyo ninavyo fahamu na kuna ayo maswali ya hivi kwa baadhi ya watu na sababu kuu ambayo inapelekea watu kujiuliza hivyo ni kwasababu watu wa nchi hii asilimia kubwa tuna DINI hivyo kama ni asilimia kubwa means kwenye hiyo asilimia kuna viongozi ambao wapo kwenye sehumu ya selikali hivyo inafika hatua ile dini inaingia katika shuhulizake hivyo watu wa nje sasa ndo wanaona kuwa mbona kama kuna udini lakini serikali kama serikali Haina DINI.
Habari za saa wanachama wa hii platform pendwa, nilikuwa na swali muhimu kwenu wanachama lenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu.
Swali lenyewe muhimu ni hili:-
Je Taifa letu la Tanzania ni la kidini au sio la kidini ?
Tafsiri nyepesi zaidi ya swali langu ni hii: Je taifa letu Tanzania ni la wale tu wenye dini za kikristo na kiislamu[ ndizo dini za serikali ya Tanzania] au ni taifa lisilo egemea katika dini yoyote ile ?
Karibuni wajuvi wa mambo mpate kunijuza kwa faida yangu na ya wanachama wengine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Serilali na Ccm kwa sasa ni kama kamati ya hijja au baraza la maulid
Ni kweli kwa sababu ya wingi wa waumini wakeLakini shughuli mbali mbali za kiserikali zimejishikiza katika dini hizi kuu mbili uislam na ukristo.
Ni taifa la kishirikina zaidi, maana hao unaosema ni rasmi, wote hukutana kwenye ushirikina.Habari za saa wanachama wa hii platform pendwa, nilikuwa na swali muhimu kwenu wanachama lenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu.
Swali lenyewe muhimu ni hili:-
Je Taifa letu la Tanzania ni la kidini au sio la kidini ?
Tafsiri nyepesi zaidi ya swali langu ni hii: Je taifa letu Tanzania ni la wale tu wenye dini za kikristo na kiislamu[ ndizo dini za serikali ya Tanzania] au ni taifa lisilo egemea katika dini yoyote ile ?
Karibuni wajuvi wa mambo mpate kunijuza kwa faida yangu na ya wanachama wengine.
Una elewa kweli swali lako ulilo andika ?
Mfano: Kutokuwa na pesa maana yake ni nini ?. hili ni swali kweli ?
Karibu kwa swali lako tena.