Labda mpaka viwadhuru wenyewe. Yule aliyeondoka alikuwa na maadui kibao chamani, huyu sijui adui yake nani!? Au wale jamaa wanaoshitakiwa kwa ugaidi kule gerezani!?Raisi amezuru Uganda Kenya Misri hatujaona vituko kama vyetu hapa, Je wanashindwa kuwa na mbinu ya kuficha au kuweka nyuma ya pazia vitu hivi ?
Wanajua kuwa wanayo yatenda kwa wananchi hayafai hata kidogo.wakuu nauliza enzi zile zetu tukijipanga na kumpokea raisi tokea aiport hadi anapofikia hatukuona haya ya leo Raisi anapokwenda huwaga na mambo ya kutisha . Sina haja ya kuwachosha sana lakini tupeni ufafanuzi Je Tanzania sio salama tena,hata hatukuyaona wakati wa Nyerere,Ali Hassan,Mkapa wala Kikwete ,Yalianza wakati wa Magu na sasa yanaendelea.
Kusema kweli haipendezi, Raisi Samia ondoa hivi vitu Mwenyezi Mungu yupo na anakulinda .
View attachment 2017194
Labda kwa kuogopa huo ugaidi ndiyo maana wanatumia ulinzi wa hali ya juu kujilinda.Labda mpaka viwadhuru wenyewe. Yule aliyeondoka alikuwa na maadui kibao chamani, huyu sijui adui yake nani!? Au wale jamaa wanaoshitakiwa kwa ugaidi kule gerezani!?
Wanafanya makusudi ili nchi yetu ionekane kuwa tupo vizuri kwenye nyanja za kujilinda.Raisi amezuru Uganda Kenya Misri hatujaona vituko kama vyetu hapa, Je wanashindwa kuwa na mbinu ya kuficha au kuweka nyuma ya pazia vitu hivi ?
Atakuwa anawajua ndo maana anajikingaLabda mpaka viwadhuru wenyewe. Yule aliyeondoka alikuwa na maadui kibao chamani, huyu sijui adui yake nani!? Au wale jamaa wanaoshitakiwa kwa ugaidi kule gerezani!?
Duh!Chini magari kibao juu angani madege makubwa kama tupo uwanja wa mapambano.
Asante sana kwa hii kumbukumbuUsalama wa Rais tusiujadili sana.
Kikitokea chochote, utakuja kuuliza hapa hapa, walinzi walikuwa wapi; mbona hawakumlinda ipasavyo.
By the way check mazishi ya Karume uone Nyerere alivyozungukwa na mabunduki
Tanzania ni kisiwa cha amani naona huo wimbo uliondoka na mwl JK Nyerere.Duh!
Mambo ya kuiga hayo, kufuata mkumbo
Mtutu huo unalinda kitu gani mzee?Asante sana kwa hii kumbukumbu
Dah hadi karibu na kaburi kuna mtutu
Haini kajiongezea urinzi ...aka most wantedwakuu nauliza enzi zile zetu tukijipanga na kumpokea raisi tokea aiport hadi anapofikia hatukuona haya ya leo Raisi anapokwenda huwaga na mambo ya kutisha . Sina haja ya kuwachosha sana lakini tupeni ufafanuzi Je Tanzania sio salama tena,hata hatukuyaona wakati wa Nyerere,Ali Hassan,Mkapa wala Kikwete ,Yalianza wakati wa Magu na sasa yanaendelea.
Kusema kweli haipendezi, Raisi Samia ondoa hivi vitu Mwenyezi Mungu yupo na anakulinda .
View attachment 2017194
Kulikuwa kuna mlevi mmoja alikuwa anatembea huku makomandoo waking'inia Milango hamkusema chochote.Wanafanya makusudi ili nchi yetu ionekane kuwa tupo vizuri kwenye nyanja za kujilinda.