Je, Tanzania sio salama? Hizi bunduki za nini?

Huenda mambo ya bwana Yule Yuko lupango yanatisha,kuondoa hii hofu ni mpaka Mahakama imutakase.
 
Mlianza enzi za mwendazake mkasema analindwa na "Wagabho" wa Rwanda.

Mmeanza na kwa "mama" yenu tena?

Mambo msiyoyajua yaacheni!.

Mnaumiza vichwa kwa mambo yaliyo nje ya upeo wenu.

Kalime chainizi haraka sana.
 

Huu ni mfano mzuri. Hivi angekuwa amezungukwa na watu wenye silaha kama hizi halafu mmoja angeamua kufyatua risasi wangapi wangeumia au hata kupoteza maisha. Hizi silaha ni za kwenye uwanja wa vita ndio maana huzioni hata kwa Biden. Aidha, Rais hapaswi kulindwa na wanajeshi bali hua anakuwa na kikosi chake maalum cha ulinzi. Hawa ni watu wamekuwa vetted na kupewa mafunzo ya kukabiliana na tishio lolote bila kuleta madhara makubwa na kuhakikishaRais yuko salama. Kuwa na watu wengi kiasi hicho wenye silaha za kivita ni tishio kwa usalama wake maana hao hao wanaweza kumgeuka. Hakuna mtu asiyependa Rais alindwe, kinachouliziwa ni aina ya ulinzi wake. Aidha, Rais wa demokrasia hapaswi kuonekana anawaogopa raia waliomchagua. Haileti picha nzuri.

Amandla...
 
Aya ya mwisho ina utata.Kwani tishio ni kwa waliomchagua tu?Hamna maadui wengine?Huyo mlinzi mwanajeshi una hakika hajakuwa vetted?
Ulinzi wa Biden unaujua?Soma au fanya utafiti wacha kukariri.White House ya Biden unajua imewekewa ulinzi wa kiwango gani?
Biden sio Rais aliyechaguliwa demokrasia?Nimeleta mfano wa Biden kwa sababu umeuleta kwenye hoja yako.
 
Usalama wa Rais tusiujadili sana.

Kikitokea chochote, utakuja kuuliza hapa hapa, walinzi walikuwa wapi; mbona hawakumlinda ipasavyo.

By the way check mazishi ya Karume uone Nyerere alivyozungukwa na mabunduki


dah huo ulinz hatar
 
Tukubali kubadilika kimfumo wa ulinzi wa viongozi wetu.
Kule kagera jamaa kaiingia na mibunduki mikubwa msikitini Akiwa na PM.
 
Nashangaa,wakati katiba ipo itatupa mpango si ndio mlichoandika kwenye katiba
 
Si unaona mpaka Mwenyekiti wa Chama anapanga Ugaidi!!
 
Mbona hamkusema msukuma mwenzenu aondolewe ulinzi kipindi kile,
Maana alikuwa na ulinzi kufuru, lakini wap,malaika mtoa roho akuogopa ulinzi,

Acheni Rais apewe ulinzi wakutosha wapuuzi nyie
 
Utadhani Afghanistan!!
Wanashindwa kuwa na salaha ndogo yaani bastola kwa uficho kama wafanyavyo mataifa makubwa hatuoni hizo vitu.
Na mahali anapoenda Rais si panatanguliwa na uangalizi wa hali ya juu.
 
Wakati wa Nyerere tulikuwa only mil 8. Na kwa bahati mbaya sana sehemu karibu zote tulikuwa tunajuana. UWEPO WA TEKNOLOJIA, ONGEZEKO LA WATU, GHARAMA ZA KUENDESHA UCHAGUZI, NK zinapelekea ulinzi mkali kwa kiongozi yoyote yule DUNIANI. Analindwa PAPA sembuse huyu? Analindwa yule Shekhe wa Makka itakuwa huyu Rais.??
 
UNA AKILI SAWASAWA LAKINI??
 
Mimi namshauri Raisi atembee na Kifaru na Walinzi wake kadhas wabebe RPG kama anaogopa Wapinzani.

Ila yeye atupe Katiba Mpya tu.
 
Wabongo bana kwa ujuaji mavi hatujambo.

Swala la ulinzi wa raisi ambalo lipo kwa mujibu wa sheria nalo unahoji.

Tafuta pesa uwaze vitu vya msingi
Hoja na matusi haviendani. Hoja hapa ni ulinzi wa Rais wetu.
 
Usalama wa Rais tusiujadili sana.

Kikitokea chochote, utakuja kuuliza hapa hapa, walinzi walikuwa wapi; mbona hawakumlinda ipasavyo.

By the way check mazishi ya Karume uone Nyerere alivyozungukwa na mabunduki


Tatizo la watanzania ni usahaulifu! Ni wakati wa mzee ruksa pekee ndio mijegeje kwenye msafari wa rais ulionekana kupungua lakini waliofuata wote ni kama wana udugu na Mu7. Kwa hiyo kwa huyu Mama sioni kama kuna jipya zaidi ya alichorithi. Je PSU tunataka wawe wamejifungia tu ndani na kukosa posho za safari??? Tuwaache nao wale matunda ya nchi maana wao hawaendi mission nje kama wanajeshi na polisi
 

Watanzania ni ma expert wa kila kitu. Anyways, ulinzi unaendana na mahitaji. Wewe unadhani Hamza angepata nafasi ya kudhuru viongozi wa juu asingeitumia?
 
Watanzania ni ma expert wa kila kitu. Anyways, ulinzi unaendana na mahitaji. Wewe unadhani Hamza angepata nafasi ya kudhuru viongozi wa juu asingeitumia?
Huyo huyo Hamza aliyekuwa kada mtiifu? Unadhani angetaka kumdhuru kiongozi wa juu wa chama chake angeshindwa wakati alikuwa mtu wa high table?

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…