Je, Tanzania Tuna Bunge Jina, au Ni Bunge Halisi?

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
7,840
Reaction score
18,115
Kiuhalisia wabunge wanatakiwa kuwa wawakikishi wa wananchi, wanatakiwa kuwatetea wananchi dhidi ya chombo kingine chochote kinachowadhulumu haki wananchi.

Bunge linatakiwa kuwa ni chombo ambacho kinatakiwa kuwa mstari wa mbele kutetea haki na mawaslahi ya wananchi.

Jambo la kujiuliza, hivi Tanzania tuna wawakilishi wa namna hiyo? Je, tuna Bunge la namna hiyo? Je, kinachoitwa Bunge, kwa hapa Tanzania, ni Bunge kweli, au ni kundi fulani ambalo ni idara ya Serikali au kakikundi ka watawala, walikoamua kukaita kuwa ni Bunge?

Jiulize,

1. Watu wanatekwa, wanapigwa, wanafanywa vilema, wanatupwa porini, hao wanaoitwa wabunge, kimya!!

2. Watu wanatekwa, wanapotezwa, hao wanaoitwa ni wabunge, kimya!!

3. Watu wanatekwa kisha wanauawa, wanaoitwa wabunge kimya!!

4. Kodi za wananchi zinatapanywa kununulia magoli, kuwapa wasanii, huku huduma nyingi muhimu zikiendelea kudorora, wanaoitwa wabunge, kimya!!

5. Pesa ambayo ni kodi ya wananchi, pesa ya umma, watu wanaambiwa, inaporwa umiliki na kuitwa pesa ya Samia au pesa ya mama, wanaoitwa wabunge, nao siyo tu wapo kimya, bali nao wanaungana na uporwaji huo!!

Kwa haya yanayoendelea, Tanzania kweli tuna Bunge na wabunge katika maana halisi ya Bunge na wabunge?

Kwa aibu kubwa, leo haki za watanzania, dhuluma dhidi ya watanzania, zinafanyiwa mjadala maalum na Bunge la Ulaya, ambalo halipati hata shilingi 1 toka kwenye kodi ya watanzania, huku yanayotafuna kodi za Watanzania yapo kimya, na zaidi yanaungana kupongeza wanaodhulumu haki za wananchi, ambao wao walitakiwa kuwalinda kipitia mhimili wa Bunge.

Nina hakika, leo hii tungeamua kupiga kura ya kuamua kodi yetu wapewe nani, wabunge wa Bunge la Ulaya, au hawa wanaoitwa wabunge wa Tanzania, sina shaka, wengi wangesema aheri kodi yetu walipwe wabunge wa Ulaya, kwa maana ndio wanaotusemea dhidi ya udhulumaji wa haki zetu. Ndio wanaoguswa na watu kuteswa, kutekwa na kuuawa kwa vile tu watu hao wanatumia haki zao za kikatiba kuwahoji watawala.
 
Tuna kikundi cha intarahamwe waliokaa Dodoma
 
Bunge la Tulia hilo.

Yaani Mzee Kibao anajadiliwa EU wao wanasema kifo ni kifo tu.
 
Ukijua walivyopatikana utajua kama ni bunge au genge
 
Bunge ni kikaragosi tu kama vikaragosi vya Joyce wowowo wanachezeshwa na mchezeshaji anavyotaka hata mikao ambayo haiwezekani ..... Watoto kama haamjui vikaragosi vya Joyce wowowo kaulizeni wazazi wenu kabla hamjajibu hii comment
 
Je, Tanzania Tuna Bunge Jina, au Ni Bunge Halisi?​

Kwenye hili swali naomba mniwie radhai, kiukweli mimi sielewi
 
Asilimia 98% humo ndani ni vibaka wa kura 2020. Jiwe aliwasaidia sana hao jamaa majimboni hadi kuna siku moja akiwakoromea live kwamba " Na asimame hapa Mbunhe hata mmoja aliyeshinda ubunge jimboni kwake kwa haki" watu kimyaaa.
 
Hii ina maana Watanzania wamebakia bila ya mtetezi.

Serikali na vyombo vyake inatesa na kuwaonea watu, inateka, inawapoteza na inawaua. Lililotakiwa kuwa bunge, linaipongeza Serikali ka huo uovu. Mahakama, kwa kauli ya Rostam, inatoa hukumu kwa maelekezo ya Serikali. Kwa hiyo mwananchi wa Tanzania amebakia kama mtumwa wa Serikali, ambayo inamiliko mihimili na vyombo vyote, hata vile vilivyotakiwa kuwalinda wananchi!!
 
FB_IMG_17355871642210117.jpg
 
Kiuhalisia wabunge wanatakiwa kuwa wawakikishi wa wananchi, wanatakiwa kuwatetea wananchi dhidi ya chombo kingine chochote kinachowadhulumu haki wananchi.

Bunge linatakiwa kuwa ni chombo ambacho kinatakiwa kuwa mstari wa mbele kutetea haki na mawaslahi ya wananchi.

Jambo la kujiuliza, hivi Tanzania tuna wawakilishi wa namna hiyo? Je, tuna Bunge la namna hiyo? Je, kinachoitwa Bunge, kwa hapa Tanzania, ni Bunge kweli, au ni kundi fulani ambalo ni idara ya Serikali au kakikundi ka watawala, walikoamua kukaita kuwa ni Bunge?

Jiulize,

1. Watu wanatekwa, wanapigwa, wanafanywa vilema, wanatupwa porini, hao wanaoitwa wabunge, kimya!!

2. Watu wanatekwa, wanapotezwa, hao wanaoitwa ni wabunge, kimya!!

3. Watu wanatekwa kisha wanauawa, wanaoitwa wabunge kimya!!

4. Kodi za wananchi zinatapanywa kununulia magoli, kuwapa wasanii, huku huduma nyingi muhimu zikiendelea kudorora, wanaoitwa wabunge, kimya!!

5. Pesa ambayo ni kodi ya wananchi, pesa ya umma, watu wanaambiwa, inaporwa umiliki na kuitwa pesa ya Samia au pesa ya mama, wanaoitwa wabunge, nao siyo tu wapo kimya, bali nao wanaungana na uporwaji huo!!

Kwa haya yanayoendelea, Tanzania kweli tuna Bunge na wabunge katika maana halisi ya Bunge na wabunge?

Kwa aibu kubwa, leo haki za watanzania, dhuluma dhidi ya watanzania, zinafanyiwa mjadala maalum na Bunge la Ulaya, ambalo halipati hata shilingi 1 toka kwenye kodi ya watanzania, huku yanayotafuna kodi za Watanzania yapo kimya, na zaidi yanaungana kupongeza wanaodhulumu haki za wananchi, ambao wao walitakiwa kuwalinda kipitia mhimili wa Bunge.

Nina hakika, leo hii tungeamua kupiga kura ya kuamua kodi yetu wapewe nani, wabunge wa Bunge la Ulaya, au hawa wanaoitwa wabunge wa Tanzania, sina shaka, wengi wangesema aheri kodi yetu walipwe wabunge wa Ulaya, kwa maana ndio wanaotusemea dhidi ya udhulumaji wa haki zetu. Ndio wanaoguswa na watu kuteswa, kutekwa na kuuawa kwa vile tu watu hao wanatumia haki zao za kikatiba kuwahoji watawala.
Papa kapatikana achana n Tanzania twende kimataifa 😂🤣😂 Hii nchi inawenyewe ndugu yani ujui uelekee wap ukisem uunge mkono NRNE unakutana na European Union na misimamo yao ya ovyo sasa tutulie tu maana hatuna damu ya kuamka wai wakitangaz maandamano mimi huyo ndani natulia tuli.
Au vp Fanton Mahal 😂🤣
 
Bunge la Tulia hilo.

Yaani Mzee Kibao anajadiliwa EU wao wanasema kifo ni kifo tu.
Umaskini umetuharibu sana akili watanzania yaani wabunge ilimradi wanapata pesa wako tayari kulinda uovu wowote ili waendelee kupata pesa
 
Kiuhalisia wabunge wanatakiwa kuwa wawakikishi wa wananchi, wanatakiwa kuwatetea wananchi dhidi ya chombo kingine chochote kinachowadhulumu haki wananchi.

Bunge linatakiwa kuwa ni chombo ambacho kinatakiwa kuwa mstari wa mbele kutetea haki na mawaslahi ya wananchi.

Jambo la kujiuliza, hivi Tanzania tuna wawakilishi wa namna hiyo? Je, tuna Bunge la namna hiyo? Je, kinachoitwa Bunge, kwa hapa Tanzania, ni Bunge kweli, au ni kundi fulani ambalo ni idara ya Serikali au kakikundi ka watawala, walikoamua kukaita kuwa ni Bunge?

Jiulize,

1. Watu wanatekwa, wanapigwa, wanafanywa vilema, wanatupwa porini, hao wanaoitwa wabunge, kimya!!

2. Watu wanatekwa, wanapotezwa, hao wanaoitwa ni wabunge, kimya!!

3. Watu wanatekwa kisha wanauawa, wanaoitwa wabunge kimya!!

4. Kodi za wananchi zinatapanywa kununulia magoli, kuwapa wasanii, huku huduma nyingi muhimu zikiendelea kudorora, wanaoitwa wabunge, kimya!!

5. Pesa ambayo ni kodi ya wananchi, pesa ya umma, watu wanaambiwa, inaporwa umiliki na kuitwa pesa ya Samia au pesa ya mama, wanaoitwa wabunge, nao siyo tu wapo kimya, bali nao wanaungana na uporwaji huo!!

Kwa haya yanayoendelea, Tanzania kweli tuna Bunge na wabunge katika maana halisi ya Bunge na wabunge?

Kwa aibu kubwa, leo haki za watanzania, dhuluma dhidi ya watanzania, zinafanyiwa mjadala maalum na Bunge la Ulaya, ambalo halipati hata shilingi 1 toka kwenye kodi ya watanzania, huku yanayotafuna kodi za Watanzania yapo kimya, na zaidi yanaungana kupongeza wanaodhulumu haki za wananchi, ambao wao walitakiwa kuwalinda kipitia mhimili wa Bunge.

Nina hakika, leo hii tungeamua kupiga kura ya kuamua kodi yetu wapewe nani, wabunge wa Bunge la Ulaya, au hawa wanaoitwa wabunge wa Tanzania, sina shaka, wengi wangesema aheri kodi yetu walipwe wabunge wa Ulaya, kwa maana ndio wanaotusemea dhidi ya udhulumaji wa haki zetu. Ndio wanaoguswa na watu kuteswa, kutekwa na kuuawa kwa vile tu watu hao wanatumia haki zao za kikatiba kuwahoji watawala.
Wewe umeona bunge tu???
Ni vyombo vingi hadi Mahakama
 
Mkuu mimi kama mtanzania ninayo dhamiri ya dhati kuliheshimu bunge letu tukufu hata wakipitisha sheria ya kushindana kunengua mauno wakati wa pambio za kuisifia serikali.
 
Back
Top Bottom