Tuna kikundi cha intarahamwe waliokaa DodomaKiuhalisia wabunge wanatakiwa kuwa wawakikishi wa wananchi, wanatakiwa kuwatetea wananchi dhidi ya chombo kingine chochote kinachowadhulumu haki wananchi.
Bunge linatakiwa kuwa ni chombo ambacho kinatakiwa kuwa mstari wa mbele kutetea haki na mawaslahi ya wananchi.
Jambo la kujiuliza, hivi Tanzania tuna wawakilishi wa namna hiyo? Je, tuna Bunge la namna hiyo? Je, kinachoitwa Bunge, kwa hapa Tanzania, ni Bunge kweli, au ni kundi fulani ambalo ni idara ya Serikali au kakikundi ka watawala, walikoamua kukaita kuwa ni Bunge?
Jiulize,
1. Watu wanatekwa, wanapigwa, wanafanywa vilema, wanatupwa porini, hao wanaoitwa wabunge, kimya!!
2. Watu wanatekwa, wanapotezwa, hao wanaoitwa ni wabunge, kimya!!
3. Watu wanatekwa kisha wanauawa, wanaoitwa wabunge kimya!!
4. Kodi za wananchi zinatapanywa kununulia magoli, kuwapa wasanii, huku huduma nyingi muhimu zikiendelea kudorora, wanaoitwa wabunge, kimya!!
5. Pesa ambayo ni kodi ya wananchi, pesa ya umma, watu wanaambiwa, inaporwa umiliki na kuitwa pesa ya Samia au pesa ya mama, wanaoitwa wabunge, nao siyo tu wapo kimya, bali nao wanaungana na uporwaji huo!!
Kwa haya yanayoendelea, Tanzania kweli tuna Bunge na wabunge katika maana halisi ya Bunge na wabunge?
Kwa aibu kubwa, leo haki za watanzania, dhuluma dhidi ya watanzania, zinafanyiwa mjadala maalum na Bunge la Ulaya, ambalo halipati hata shilingi 1 toka kwenye kodi ya watanzania, huku yanayotafuna kodi za Watanzania yapo kimya, na zaidi yanaungana kupongeza wanaodhulumu haki za wananchi, ambao wao walitakiwa kuwalinda kipitia mhimili wa Bunge.
Nina hakika, leo hii tungeamua kupiga kura ya kuamua kodi yetu wapewe nani, wabunge wa Bunge la Ulaya, au hawa wanaoitwa wabunge wa Tanzania, sina shaka, wengi wangesema aheri kodi yetu walipwe wabunge wa Ulaya, kwa maana ndio wanaotusemea dhidi ya udhulumaji wa haki zetu. Ndio wanaoguswa na watu kuteswa, kutekwa na kuuawa kwa vile tu watu hao wanatumia haki zao za kikatiba kuwahoji watawala.
Kiuhalisia wabunge wanatakiwa kuwa wawakikishi wa wananchi, wanatakiwa kuwatetea wananchi dhidi ya chombo kingine chochote kinachowadhulumu haki wananchi.

Ukijua walivyopatikana utajua kama ni bunge au gengeKiuhalisia wabunge wanatakiwa kuwa wawakikishi wa wananchi, wanatakiwa kuwatetea wananchi dhidi ya chombo kingine chochote kinachowadhulumu haki wananchi.
Bunge linatakiwa kuwa ni chombo ambacho kinatakiwa kuwa mstari wa mbele kutetea haki na mawaslahi ya wananchi.
Jambo la kujiuliza, hivi Tanzania tuna wawakilishi wa namna hiyo? Je, tuna Bunge la namna hiyo? Je, kinachoitwa Bunge, kwa hapa Tanzania, ni Bunge kweli, au ni kundi fulani ambalo ni idara ya Serikali au kakikundi ka watawala, walikoamua kukaita kuwa ni Bunge?
Jiulize,
1. Watu wanatekwa, wanapigwa, wanafanywa vilema, wanatupwa porini, hao wanaoitwa wabunge, kimya!!
2. Watu wanatekwa, wanapotezwa, hao wanaoitwa ni wabunge, kimya!!
3. Watu wanatekwa kisha wanauawa, wanaoitwa wabunge kimya!!
4. Kodi za wananchi zinatapanywa kununulia magoli, kuwapa wasanii, huku huduma nyingi muhimu zikiendelea kudorora, wanaoitwa wabunge, kimya!!
5. Pesa ambayo ni kodi ya wananchi, pesa ya umma, watu wanaambiwa, inaporwa umiliki na kuitwa pesa ya Samia au pesa ya mama, wanaoitwa wabunge, nao siyo tu wapo kimya, bali nao wanaungana na uporwaji huo!!
Kwa haya yanayoendelea, Tanzania kweli tuna Bunge na wabunge katika maana halisi ya Bunge na wabunge?
Kwa aibu kubwa, leo haki za watanzania, dhuluma dhidi ya watanzania, zinafanyiwa mjadala maalum na Bunge la Ulaya, ambalo halipati hata shilingi 1 toka kwenye kodi ya watanzania, huku yanayotafuna kodi za Watanzania yapo kimya, na zaidi yanaungana kupongeza wanaodhulumu haki za wananchi, ambao wao walitakiwa kuwalinda kipitia mhimili wa Bunge.
Nina hakika, leo hii tungeamua kupiga kura ya kuamua kodi yetu wapewe nani, wabunge wa Bunge la Ulaya, au hawa wanaoitwa wabunge wa Tanzania, sina shaka, wengi wangesema aheri kodi yetu walipwe wabunge wa Ulaya, kwa maana ndio wanaotusemea dhidi ya udhulumaji wa haki zetu. Ndio wanaoguswa na watu kuteswa, kutekwa na kuuawa kwa vile tu watu hao wanatumia haki zao za kikatiba kuwahoji watawala.
Asilimia 98% humo ndani ni vibaka wa kura 2020. Jiwe aliwasaidia sana hao jamaa majimboni hadi kuna siku moja akiwakoromea live kwamba " Na asimame hapa Mbunhe hata mmoja aliyeshinda ubunge jimboni kwake kwa haki" watu kimyaaa.
Hii picha ilifaa sana ingewekwa nje la lile jengo la Bunge!!
Papa kapatikana achana n Tanzania twende kimataifa 😂🤣😂 Hii nchi inawenyewe ndugu yani ujui uelekee wap ukisem uunge mkono NRNE unakutana na European Union na misimamo yao ya ovyo sasa tutulie tu maana hatuna damu ya kuamka wai wakitangaz maandamano mimi huyo ndani natulia tuli.Kiuhalisia wabunge wanatakiwa kuwa wawakikishi wa wananchi, wanatakiwa kuwatetea wananchi dhidi ya chombo kingine chochote kinachowadhulumu haki wananchi.
Bunge linatakiwa kuwa ni chombo ambacho kinatakiwa kuwa mstari wa mbele kutetea haki na mawaslahi ya wananchi.
Jambo la kujiuliza, hivi Tanzania tuna wawakilishi wa namna hiyo? Je, tuna Bunge la namna hiyo? Je, kinachoitwa Bunge, kwa hapa Tanzania, ni Bunge kweli, au ni kundi fulani ambalo ni idara ya Serikali au kakikundi ka watawala, walikoamua kukaita kuwa ni Bunge?
Jiulize,
1. Watu wanatekwa, wanapigwa, wanafanywa vilema, wanatupwa porini, hao wanaoitwa wabunge, kimya!!
2. Watu wanatekwa, wanapotezwa, hao wanaoitwa ni wabunge, kimya!!
3. Watu wanatekwa kisha wanauawa, wanaoitwa wabunge kimya!!
4. Kodi za wananchi zinatapanywa kununulia magoli, kuwapa wasanii, huku huduma nyingi muhimu zikiendelea kudorora, wanaoitwa wabunge, kimya!!
5. Pesa ambayo ni kodi ya wananchi, pesa ya umma, watu wanaambiwa, inaporwa umiliki na kuitwa pesa ya Samia au pesa ya mama, wanaoitwa wabunge, nao siyo tu wapo kimya, bali nao wanaungana na uporwaji huo!!
Kwa haya yanayoendelea, Tanzania kweli tuna Bunge na wabunge katika maana halisi ya Bunge na wabunge?
Kwa aibu kubwa, leo haki za watanzania, dhuluma dhidi ya watanzania, zinafanyiwa mjadala maalum na Bunge la Ulaya, ambalo halipati hata shilingi 1 toka kwenye kodi ya watanzania, huku yanayotafuna kodi za Watanzania yapo kimya, na zaidi yanaungana kupongeza wanaodhulumu haki za wananchi, ambao wao walitakiwa kuwalinda kipitia mhimili wa Bunge.
Nina hakika, leo hii tungeamua kupiga kura ya kuamua kodi yetu wapewe nani, wabunge wa Bunge la Ulaya, au hawa wanaoitwa wabunge wa Tanzania, sina shaka, wengi wangesema aheri kodi yetu walipwe wabunge wa Ulaya, kwa maana ndio wanaotusemea dhidi ya udhulumaji wa haki zetu. Ndio wanaoguswa na watu kuteswa, kutekwa na kuuawa kwa vile tu watu hao wanatumia haki zao za kikatiba kuwahoji watawala.
Umaskini umetuharibu sana akili watanzania yaani wabunge ilimradi wanapata pesa wako tayari kulinda uovu wowote ili waendelee kupata pesaBunge la Tulia hilo.
Yaani Mzee Kibao anajadiliwa EU wao wanasema kifo ni kifo tu.
KaribuJambo la kujiuliza, hivi Tanzania tuna wawakilishi wa namna hiyo? Je, tuna Bunge la namna hiyo? Je, kinachoitwa Bunge, kwa hapa Tanzania, ni Bunge kweli, au ni kundi fulani ambalo ni idara ya Serikali au kakikundi ka watawala, walikoamua kukaita kuwa ni Bunge?
Mkuu, kinacho kufanya usielewe ni nini?Je, Tanzania Tuna Bunge Jina, au Ni Bunge Halisi?
Kwenye hili swali naomba mniwie radhai, kiukweli mimi sielewi
Wewe umeona bunge tu???Kiuhalisia wabunge wanatakiwa kuwa wawakikishi wa wananchi, wanatakiwa kuwatetea wananchi dhidi ya chombo kingine chochote kinachowadhulumu haki wananchi.
Bunge linatakiwa kuwa ni chombo ambacho kinatakiwa kuwa mstari wa mbele kutetea haki na mawaslahi ya wananchi.
Jambo la kujiuliza, hivi Tanzania tuna wawakilishi wa namna hiyo? Je, tuna Bunge la namna hiyo? Je, kinachoitwa Bunge, kwa hapa Tanzania, ni Bunge kweli, au ni kundi fulani ambalo ni idara ya Serikali au kakikundi ka watawala, walikoamua kukaita kuwa ni Bunge?
Jiulize,
1. Watu wanatekwa, wanapigwa, wanafanywa vilema, wanatupwa porini, hao wanaoitwa wabunge, kimya!!
2. Watu wanatekwa, wanapotezwa, hao wanaoitwa ni wabunge, kimya!!
3. Watu wanatekwa kisha wanauawa, wanaoitwa wabunge kimya!!
4. Kodi za wananchi zinatapanywa kununulia magoli, kuwapa wasanii, huku huduma nyingi muhimu zikiendelea kudorora, wanaoitwa wabunge, kimya!!
5. Pesa ambayo ni kodi ya wananchi, pesa ya umma, watu wanaambiwa, inaporwa umiliki na kuitwa pesa ya Samia au pesa ya mama, wanaoitwa wabunge, nao siyo tu wapo kimya, bali nao wanaungana na uporwaji huo!!
Kwa haya yanayoendelea, Tanzania kweli tuna Bunge na wabunge katika maana halisi ya Bunge na wabunge?
Kwa aibu kubwa, leo haki za watanzania, dhuluma dhidi ya watanzania, zinafanyiwa mjadala maalum na Bunge la Ulaya, ambalo halipati hata shilingi 1 toka kwenye kodi ya watanzania, huku yanayotafuna kodi za Watanzania yapo kimya, na zaidi yanaungana kupongeza wanaodhulumu haki za wananchi, ambao wao walitakiwa kuwalinda kipitia mhimili wa Bunge.
Nina hakika, leo hii tungeamua kupiga kura ya kuamua kodi yetu wapewe nani, wabunge wa Bunge la Ulaya, au hawa wanaoitwa wabunge wa Tanzania, sina shaka, wengi wangesema aheri kodi yetu walipwe wabunge wa Ulaya, kwa maana ndio wanaotusemea dhidi ya udhulumaji wa haki zetu. Ndio wanaoguswa na watu kuteswa, kutekwa na kuuawa kwa vile tu watu hao wanatumia haki zao za kikatiba kuwahoji watawala.
Karibu
P
- Wabunge Wetu wa Ajabu!, Wanaachaje Bunge Lijipendekeze Kwa Serikali!, Wanajua Wajibu Wao?. Check 'n' Balance Itoke Wapi?
- Sehemu ya Pili: Je, Bunge letu tukufu linajipendekeza kwa Serikali?
- Je, Bunge letu ni Bunge Butu?. Angalia Bunge la Uingereza lenye meno linavyong'ata Serikali. Je, Kuna ubaya tukiiga?
- Bunge letu, Bunge Kibri, Jeuri? Linawezaje kutunga tena Sheria batili? Limeamriwa kuondoa ubatili huo, linapata wapi jeuri ya kuidharau Mahakama?
- Baadhi ya Wabunge ni Stupid!, Tanzania haina Demokrasia!, Bunge ni Rubber Stamp!- TBC, Watch Now!
- Watanzania tutaendelea kusubiri mpaka lini Bunge likitunga Sheria batili na kuuchomekea ubatili huo ndani ya Katiba yetu? Tufanye nini?
- Pamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants
- Katiba Yetu Ina Matobo: Serikali Ikikosea, Inashitakika. Je, Bunge na Mahakama Zinapowakosea Watanzania Kama Makosa Haya Tunawashitaki Wapi?
- Je, wajua kuwa Rais wa JMT ndie Serikali, Bunge na Mahakama? Yuko juu ya Mihimili yote 3. Je, kuna uwezekano Rais wa JMT pia yuko juu Katiba?