Je, Tanzania una 'Makomandoo' wa 'Majanga' au ni hawa tu wa Maonyesho ya Karate na Kuvunjiana Mbao Migongoni katika Uhuru / Muungano Day?

Je, Tanzania una 'Makomandoo' wa 'Majanga' au ni hawa tu wa Maonyesho ya Karate na Kuvunjiana Mbao Migongoni katika Uhuru / Muungano Day?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kama wapo huwa wanakuwa wapi katika Majanga ya Mafuriko, Moto ( Mioto ) kama huu wa sasa wa Mlima Kilimanjaro na Ajali?

Nasubiri Mirejesho yenu na leo GENTAMYCINE Kazi yangu Kubwa hapa ni Kusoma tu Maoni yenu nyie 'Great Thinkers' wa JamiiForums na najua mtakuwa na Madini ya kutosha juu ya hili.
 
Kuna wajnga flani wanaopigana na moto uwanjani kama wehu...

Tumewekeza kwenye ujinga zaid....ata hivyo kazi ngumu mpe mjnga
 
Back
Top Bottom