Je tatizo hili ni facebook yangu?

Je tatizo hili ni facebook yangu?

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
Yaani huko juu namba chochote wala sehemu ya kusearch au kuona ujumbe hakuna.

Screenshot_2023-02-28-23-30-11.png
 
Naona umepeleka changamoto za Pepsi kwenye kiwanda cha Coca
 
lakini hata jf ipo huko fb
Vipi kuhusu uwepo wa FB huku?

Easy way, hiyo screenshot yako ungeipost fb, ungepata majibu kwa wepesi Toka kwa wengine wanaotumia. Maana humu, mfano Mimi, niliacha kutumia FB mwaka 2016
 
Facebook wana kategori ya help,watakusaidia
 
Back
Top Bottom