LA7 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 655 Reaction score 2,369 Feb 28, 2023 #1 Yaani huko juu namba chochote wala sehemu ya kusearch au kuona ujumbe hakuna.
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,637 Reaction score 47,413 Feb 28, 2023 #2 Naona umepeleka changamoto za Pepsi kwenye kiwanda cha Coca
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,588 Reaction score 22,752 Feb 28, 2023 #3 Analyse said: Naona umepeleka changamoto za Pepsi kwenye kiwanda cha Coca Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Analyse said: Naona umepeleka changamoto za Pepsi kwenye kiwanda cha Coca Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
LA7 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 655 Reaction score 2,369 Feb 28, 2023 Thread starter #4 Analyse said: Naona umepeleka changamoto za Pepsi kwenye kiwanda cha Coca Click to expand... lakini hata jf ipo huko fb
Analyse said: Naona umepeleka changamoto za Pepsi kwenye kiwanda cha Coca Click to expand... lakini hata jf ipo huko fb
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,637 Reaction score 47,413 Feb 28, 2023 #5 shampondo said: lakini hata jf ipo huko fb Click to expand... Vipi kuhusu uwepo wa FB huku? Easy way, hiyo screenshot yako ungeipost fb, ungepata majibu kwa wepesi Toka kwa wengine wanaotumia. Maana humu, mfano Mimi, niliacha kutumia FB mwaka 2016
shampondo said: lakini hata jf ipo huko fb Click to expand... Vipi kuhusu uwepo wa FB huku? Easy way, hiyo screenshot yako ungeipost fb, ungepata majibu kwa wepesi Toka kwa wengine wanaotumia. Maana humu, mfano Mimi, niliacha kutumia FB mwaka 2016
MAWEED JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 3,550 Reaction score 12,239 Mar 1, 2023 #6 Facebook wana kategori ya help,watakusaidia