Je tatizo la kuchelewa kuziona siku(hedhi)linatokana na nini?

Je tatizo la kuchelewa kuziona siku(hedhi)linatokana na nini?

Alafu kabla mtu hajajibu lolote,kwanza ajue hapa ni sehemu ya ushauri,na km mtu anahisi hana jibu,sio lzm kujibu..unavunga tuu.na km una hisi wewe una uelewa kuliko wenzio,tuelekeze unachojua na sio kukashifu watu.ili ni tatizo na mtu kaomba ashauriwe,km binadamu tunapaswa kumpa ushauri,bila kujali udogo au ukubwa wa tatizo au uelewa wako,la km huelewi acha wanaojua kuelekeza wafanye hivo.kisha pia kabla hujatoa hoja yako,ni vema ukaangalia wengne wamejibu nn.mbona wengne wanajibu kistaarabu tuu..unaweza kujiona ni mkubwa na ukadhani una uelewa mpana lkn majibu yako yakauonesha una akili za kitoto..dada anahitaji msaada na sio kubishana na kujiona mjuaji
 
Back
Top Bottom