Je, tausi anaweza kuishi mwenyewe porini?

Je, tausi anaweza kuishi mwenyewe porini?

Paka mi hua ananifurahisha tu alivyo hana shobo na anavyowadharau wanyama wengine hasa mbwa. Yani paka hua anajiona yeye ndio mwenye haki humo ndani na hana mda wa kuhangaika kujipendekeza kwa mwanadamu. Ukiwa unafuga paka na mbwa, ukirudi nyumbani ni kama paka hua anamuambia mbwa "oya.. we mbwa.. hebu kimbia kampokee bosi wako.." yeye ndio kwaanza anageukia upande wa pili anaendelea kuchapa usingizi 😂😂😂
Ukitaka kupata definition ya mbinafsi mwangalie paka. Anajipenda yeye, hajali feelings za wengine. Nguo fresh kutoka wash mashine zenye kaharufu ka sabuni ndio anapenda kuwahi kulalia 😀
Ila kwa usafi anajitajidi
 
Unavouliza kwamba uko kwenye kizungumkuti kwamba unahisi tausi wana nyumba au???

Si alikuepo toka mwanzo sisi binadamu ndo tumewatame so ni lazima walikua na natural habitat hapo mwanzo mkuu
 
Wanaishi porini. Kuna tausi wa aina tatu. Aina mbili zinapatikana Asia na nyingine Afrika, Congo. Ukienda maeneo ya bonde la Congo utakuta hao wa aina ya Afrika. Tembelea mbuga inaitwa Salonga National Park, utawaona.
Hapa Marekani wanaishi porini tu; ila wanapenda sana kutemebelea na kutumia muda mwingi kwenye maskani ya watu.
 
Yule ndege haitwi tausi. Lakini watu wengi hawajui hilo. Yule anaitwa ndege mnana. Au ndege mwanana. Tausi ni jina la mkia wake na haswa pale anapouchanua na kutengeneza ua. Lile ua ndilo tausi
Matango pori
 
Huyo ndio ndege mnana ila tausi ni tausi
Screenshot_20210627-113039_Chrome.jpg
 
Unavouliza kwamba uko kwenye kizungumkuti kwamba unahisi tausi wana nyumba au???

Si alikuepo toka mwanzo sisi binadamu ndo tumewatame so ni lazima walikua na natural habitat hapo mwanzo mkuu
Mimi sizungumzii mwanzo, nazungumzia sasa. halafu ukisema hivyo mkuu basi wanyama na ndege km ng'ombe, mbuzi, kuku n.k si ingekuwa hivyo hivyo?
 
Hakuna mnyama wa nyumbani anapenda starehe kama paka. Yaani yeye muda wote anadeka tu, mara ajisogeze kwenye miguu yako..kupumzika hapumziki kwenye sakafu kama wenzake, yeye ni juu ya sofa.
nikienda kwenye duka nikakuta paka sinunui unga wala mchele hapo.
usiniulize kwanini jibu utakuwa nalo
 
Yule ndege haitwi tausi. Lakini watu wengi hawajui hilo. Yule anaitwa ndege mnana. Au ndege mwanana. Tausi ni jina la mkia wake na haswa pale anapouchanua na kutengeneza ua. Lile ua ndilo tausi.
Thank you!
 
nikienda kwenye duka nikakuta paka sinunui unga wala mchele hapo.
usiniulize kwanini jibu utakuwa nalo
😂 😂 😂 😂
Umenikumbusha kipindi hicho unga mnaweka kwenye kikapu, aloooo....

Paka wana ujinga mwingi sana.
 
Back
Top Bottom