Burnaboy
JF-Expert Member
- Dec 2, 2019
- 1,070
- 1,439
Ukitaka kupata definition ya mbinafsi mwangalie paka. Anajipenda yeye, hajali feelings za wengine. Nguo fresh kutoka wash mashine zenye kaharufu ka sabuni ndio anapenda kuwahi kulalia πPaka mi hua ananifurahisha tu alivyo hana shobo na anavyowadharau wanyama wengine hasa mbwa. Yani paka hua anajiona yeye ndio mwenye haki humo ndani na hana mda wa kuhangaika kujipendekeza kwa mwanadamu. Ukiwa unafuga paka na mbwa, ukirudi nyumbani ni kama paka hua anamuambia mbwa "oya.. we mbwa.. hebu kimbia kampokee bosi wako.." yeye ndio kwaanza anageukia upande wa pili anaendelea kuchapa usingizi πππ
Ila kwa usafi anajitajidi